Kwanini Watanzania mpo wanafiki hivi. Kila ninayemuuliza anasema hakumpigia kura Magufuli.

Hivi nyie Watanzania mbona mnakuwa wanafiki kupindukia.

Yani unakutana na mtu analia maisha magumu tena huku akitupia lawama kwa Magufuli na Serikali yake. Ila ukimuuliza, "si wewe uliye mpa kura Magufuli 2015?" Mtu anabisha. Mpaka wengine wanatoa kauli kuwa hata wangekuwa wapinzani wameweka jiwe ila wasinge mpigia kura Magufuli.

KAMA HAMKUMPA KURA ,KASHINDAJE SASA.
haiwezekani mwe mnalia maisha magumu na kumlaumu Magufuli wakati mlimchagua wenyewe. Acheni muisome number. Mjilaimu wenyewe. CCM mbele kwa mbele.

Tatizo ni sample size yako.
 
Kuna jamaa alilkua anamkubali Magufuli sana mpaka akarudi nyumbani kwao (Mwanza) kwenda kumpigia kura. Sasa ni meezi wa 3 kampuni yao haijapata tenda yoyote toka serikali kila wakiuliza wanambiwa serikali haina pesa.
Sasa hivi anatukana tu na kujutia kupiga kura
 
Huyu ni Rais bora Africa na duniani. Njaa zetu, uzembe, wizi ndivyo vinatufanya tumlalamikie. Lakini kiuhalisia huyu kwa sasa hana mfano wake barani Africa.
 
Hivi nyie Watanzania mbona mnakuwa wanafiki kupindukia.

Yani unakutana na mtu analia maisha magumu tena huku akitupia lawama kwa Magufuli na Serikali yake. Ila ukimuuliza, "si wewe uliye mpa kura Magufuli 2015?" Mtu anabisha. Mpaka wengine wanatoa kauli kuwa hata wangekuwa wapinzani wameweka jiwe ila wasinge mpigia kura Magufuli.

KAMA HAMKUMPA KURA ,KASHINDAJE SASA.
haiwezekani mwe mnalia maisha magumu na kumlaumu Magufuli wakati mlimchagua wenyewe. Acheni muisome number. Mjilaimu wenyewe. CCM mbele kwa mbele.

Mbona mm hujaniuliza, nilimpigia kura, na nitampigia tena!!!
 
Yani wanakwambia hafai kwa mabaya kibao ila akitumbua jipu moja tu wanakwambia magufuli Hapa kazi tu!!!!!! hawa watu wanafki sana
 
Huyu ni Rais bora Africa na duniani. Njaa zetu, uzembe, wizi ndivyo vinatufanya tumlalamikie. Lakini kiuhalisia huyu kwa sasa hana mfano wake barani Africa.
Jipigie makofi_!unatakiwa uwekwe ktk world of genus!iwe kama sampling!
 
Mi huwa sifichi nilimpigia kura ila nisameheni sikujua nachagua shetani
Nishakusamehe. Mkuu ila umetuangusha sana kumpigia huyu jamaa. Hafai hata kwa kachumbari. Kaharibu ndoto za watu wengi sana especially vijana. Mambo ni magumu sana debe la mahindi 23,000. Kwa ujinga wake sukari imekuwa juu sana.
Inabid ianzishwe kitengo cha kuwapima akili siyo bure.
"Viongozi wengine ni laana tu''
 
Yani wanakwambia hafai kwa mabaya kibao ila akitumbua jipu moja tu wanakwambia magufuli Hapa kazi tu!!!!!! hawa watu wanafki sana
Km hapa kazi tu kwann amefuta ajira? Ni sawa na mtu anayetembea uchi halafu anawaambia nimevaa nguo na watu wakaamin hivyo.
Huo ni ugonjwa wa akili. Utasemaje hapa kazi tu na umefuta ajira? Km siyo utahira n nn? Na watu walivyo wanakubali.
Tanzania maiti ni wengi. Yaan mtu anawaambia hapa kazi tu na ajira kafuta halafu bado wanashangilia.
CCM ni adui wa maendeleo
 
Mimi sikumpigia kura, ila 2020 nitampigia kura,
Narudia watz wengi hawana uwezo wa kuona hata sentimita 30 mbele ya Macho yao.
Huyu atakuwa ni Rais kwa awamu ijayo pia
Trust me, we need this Man, Natumaini wapo wanaonielewa namaanisha nini.
 
Hivi nyie Watanzania mbona mnakuwa wanafiki kupindukia.

Yani unakutana na mtu analia maisha magumu tena huku akitupia lawama kwa Magufuli na Serikali yake. Ila ukimuuliza, "si wewe uliye mpa kura Magufuli 2015?" Mtu anabisha. Mpaka wengine wanatoa kauli kuwa hata wangekuwa wapinzani wameweka jiwe ila wasinge mpigia kura Magufuli.

KAMA HAMKUMPA KURA ,KASHINDAJE SASA.
haiwezekani mwe mnalia maisha magumu na kumlaumu Magufuli wakati mlimchagua wenyewe. Acheni muisome number. Mjilaimu wenyewe. CCM mbele kwa mbele.
kamuulize Babu lubuva na nec
 
Mimi sikumpigia kura, ila 2020 nitampigia kura,
Narudia watz wengi hawana uwezo wa kuona hata sentimita 30 mbele ya Macho yao.
Huyu atakuwa ni Rais kwa awamu ijayo pia
Trust me, we need this Man, Natumaini wapo wanaonielewa namaanisha nini.
we need him kwa kusigina Democracy an freedom of speech
 
Back
Top Bottom