Kwanini Watanzania mpo wanafiki hivi. Kila ninayemuuliza anasema hakumpigia kura Magufuli.

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,652
Hivi nyie Watanzania mbona mnakuwa wanafiki kupindukia.

Yani unakutana na mtu analia maisha magumu tena huku akitupia lawama kwa Magufuli na Serikali yake. Ila ukimuuliza, "si wewe uliye mpa kura Magufuli 2015?" Mtu anabisha. Mpaka wengine wanatoa kauli kuwa hata wangekuwa wapinzani wameweka jiwe ila wasinge mpigia kura Magufuli.

KAMA HAMKUMPA KURA ,KASHINDAJE SASA.
haiwezekani mwe mnalia maisha magumu na kumlaumu Magufuli wakati mlimchagua wenyewe. Acheni muisome number. Mjilaimu wenyewe. CCM mbele kwa mbele.
 
Kweli Mkuu wote wanakataa, ngoja tusubili 2019 na 2020
 
Nashangaa hata waliompigia kampen mtaan kwetu wanamkana.
Ni hatari sana. Ndiyo tatizo la kumuingiza mtu anayejijua yy na makada wake. Hakupaswa kuwa raisi hata yy hukiri hivyo ila kutoka na uroho wa ccm wakamuweka na watz wengi walivyo wajinga wakamkaribisha hawakujua kuwa wamemkaribisha chui aliyevaa ngozi ya kondoo.
Uzuri tunaisoma namba wapinzani tu. Wanaccm hata haiwahusu kbsa
 
Ila si hata wewe ulimpa kura!
 
Ni kweli sisi watanzania ni wanafiki. Ila usisahau pia kwamba hatuna tume huru ya uchaguzi
 
Hivi nyie Watanzania mbona mnakuwa wanafiki kupindukia.

Yani unakutana na mtu analia maisha magumu tena huku akitupia lawama kwa Magufuli na Serikali yake. Ila ukimuuliza, "si wewe uliye mpa kura Magufuli 2015?" Mtu anabisha. Mpaka wengine wanatoa kauli kuwa hata wangekuwa wapinzani wameweka jiwe ila wasinge mpigia kura Magufuli.

KAMA HAMKUMPA KURA ,KASHINDAJE SASA.
haiwezekani mwe mnalia maisha magumu na kumlaumu Magufuli wakati mlimchagua wenyewe. Acheni muisome number. Mjilaimu wenyewe. CCM mbele kwa mbele.
Kama kuna wenye akili zao timamu na walimpigia lazima watakuwa wanawish uitishwe uchaguzi wa marudio hata sasa.
 
Nashangaa hata waliompigia kampen mtaan kwetu wanamkana.
Ni hatari sana. Ndiyo tatizo la kumuingiza mtu anayejijua yy na makada wake. Hakupaswa kuwa raisi hata yy hukiri hivyo ila kutoka na uroho wa ccm wakamuweka na watz wengi walivyo wajinga wakamkaribisha hawakujua kuwa wamemkaribisha chui aliyevaa ngozi ya kondoo.
Uzuri tunaisoma namba wapinzani tu. Wanaccm hata haiwahusu kbsa
wengine walimuweeka profile kwa whatsapp eti Mungu akuweke sasahv wanakana shenzy taipu
 
Laana yote ataibeba Lubuva

Ukweli ni kuwa huyu jamaa wengi hawakumpigia kura kivile kama walivyompa Lowasa.

CCM wanajua, Yeye mwenyewe anajua, "Taasisi" inajua kuwa HAKUSHINDA.

Na ndio maana nguvu kubwa inatumika kutawala badala ya akili.

YAANI UTAWALA HUU NGUVU NYINGI AKILI KINDUDE.
 
Mi nilimpigia kura na hata ule uchaguzi ukirudiwa tena na wagombea ni walewale ntampigia tena huyuhuyu

Nilimpigia huku nikijua ni mtendaji na hata akiwa raisi atakuwa ni mtawala tu. Ila alikuwa ni hafueni ya wengine wote alioshindana nao.

Nisingeweza kuwa mnafiki kupingana na ukweli, acha ukweli uniweke huru mie. Hata angeshindanishwa na Kikwete ningempa huyuhuyu. Unafiki kwangu ni mwiko.
 
Wewe mwenyewe mnafiki umewauliza watanzania wangapi? Mimi nilimchagua na hata 2020 nitamkampenia mwanzo mwisho niache kuchagua Magufuli nikamchague nani?
 
Wahurumie unaowauliza na wakakataa kuwa hawakumpigia kura magufuli ! Ila uwaamini kwa kiac kikubwa sana.kura za wizi zilizo onyeshwa kwe mitandao ni nyingi mno.wachilia mbali zile za ndani ya Lori lililodaiwa kubeba mahindi,
lilikua na tani ngapi za kura ? Achilia mbali bodaboda na magari madogo yaliyobeba kura za wizi ? Zilizokutwa mashuleni,vichakani, mf.Bukoba,ni ngapi? Zilizokua zina tikiwa magufuli ndani ya kile chumba tulicho ona mitandaoni ni ngapi? Je ni mikoa,wilaya ngapi zilikua na vyumba km vile ? Au malori,bodaboda na magari madogo km Yale mangapi ambayo hatukuyaona? Kwakua tulicho shuhudia ni sehemu tu,na lubuva nae akaweka zakwake kuua tembo kabisa !kwahiyo nakuomba tu uwaamini wengi wao ni kweli hawakumpigia kura magufuli.ni wachache sana waliompigia jumlisha na miundombinu ya ccm ya wizi.pia zingatia uchungu anaowapa wananchi bila kubagua,kwakua anajua wengi hakumchagua.njaa ni kwa vyama vyote,ukosefuwa sukari,bei za vitu,elimu duni,mikopo elimu ya juu,dawa nk.nk.ona visasi vinavyolipwa kwa kivuli cha makonda na wenye taaluma zao wapo ila Nazi anapewa makona kwakua no juha alitumwa kumpiga hata mzee warioba !.ss serikali ni kandamizaji kwa kila mtu,onevu kwa baadhi wanaocgana na magufuli.kwakua neno la Mungu haliendi bure,lazima lirudi na mtu,tuzidi tu kimc hi Mungu wetu, amtumbue jipu nebkadreza wa nchi yetu Amen
 
Back
Top Bottom