Kwanini wasomi wengi akili zao ni Madudu

Kwanini wasomi wengi akili zao ni Madudu

Tatizo la wengi ukihitaji mfanyakazi na budget yako ndogo bhasi unaomba uletewe yoyote ili mradi katoka chuo. Mwisho wa siku ukiharibiwa kazi unaanza kulaumu wasomi wakati njia zako za kuwapata bado zilikuwa za connection tu.

Tangaza ajira, ita watu fanya interview ya ukweli. Usipopata mtu sahihi bhasi tatizo ni lako
Exactly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee baba sidhani kama ni kweli. Elimu ya chuo kikuu na level zingine za juu zimewekwa kwa makusudi kabisa.Uzembe wa mtu mmoja usijumuishe na wengine wote, ni sawa na tuseme walio ishia kidato cha nne ni vilaza hawana akili itakuwa si kweli.Kuna kazi zinahitaji mtu wa level ya chuo na mwenye degree!!! Na kila mtu ana nafasi yake.Ova..

Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha wivu wa kijinga..kwanza jifunze kuandika vizuri ndipo uje na hoja zako za kulalamikia wana chuo..
Kwa taarifa yako hiyo PC ndio huipati anaenda nayo chuo kufanyia presentation.

#MaendeleoHayanaChama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza upoyoyo mbona kaandika vizuri tu ulitaka aandikeje wewe kenge?? Hii mada inekugusa sana nyau wee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,

(R & L kwangu ni tatizo )

Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa Kitanzania ambae elimu yangu ni kidato cha nne, yaani nilifeli kidato cha nne.

Kwa sasa naishi maisha ya kawaida. Nimekuwa nikishangazwa sana na hawa binadamu ambao elimu zao zimefikia chuo.

Nimekuwa nikiwaajiri hawa viumbe katika kazi zangu lakini mambo wanayoyafanya naona ni bora nifanye kazi na kijana wa mtaani ambaye hana elimu yoyote lakini ana uelewa mzuri. Wamekuwa wanipa hasara na wamekuwa hawafanyi kazi vizuri kulingana na elimu yao.

Sasa Leo ndio nimeamini hawa viumbe ni madishi kabisa. Kuna kijana mpya ambae nimempa ajira ya muda mfupi kwa kipindi hiki cha corona "yeye ni mwanachuo wa UDOM"

Kwakuwa vyuo vimefungwa na kijana alikuwa anataka kufanya kazi na mimi nikaona sio mbaya acha nifanye nae kazi.

Tunavyofanya kazi, jioni huwa nampatia laptop ili kazi zingine akazifanyie nyumbani. Leo linanipigia simu eti nimepatwa na dharura ya ghafla nimesafiri kwaiyo nitarudi baada ya siku 4. Kibaya zaidi ameondoka na laptop, na ndani yake kuna kazi muhimu sana ambazo kabla ya hizo siku nne zinatakiwa ziwe tayari.

Ninacho jiuliza ni kwamba, huyu kiumbe alishindwa nini kurudisha PC ili watu wengine wafanye kazi.

Sina hofu kuwa anaweza kunitapeli PC "kijana sio tapeli na hawezi kufanya ivyo" ila ndio amekwamisha kazi zangu kwa uzembe wake.

Ndugu zangu naomba mniambie hawa viumbe kwanini akili zao hazieleweki.


NB Sipo kwaajili ya kuwatukana watu kama hawa.

Kuhusu Laptop.nimemwambia kesho anitumie Kweye basi ili ifike kabla ya yeye kurudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
we unazingua...wewe siyo kidato cha nne... Muongo ....Kidato cha nne wanajua kuingiza tu nyimbo kwenye pc, hawajui kingne... may be na kuweka na kutoa movie. Sasa wewe una uwezo wa kufanya kazi vzuri kwa computer... unatudanganya mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatusi watu acha dhalau, si wote wenye tabia ulizo kutana nazo.

Jiulize ni kazi ngapi zinafanywa na wasomi nchini na zinaenda vizuri
Sio dhalau ni dharau
Na sio ajabu na wewe ni mwanachuo
 
Yaani wewe ulitakiwa ufeli form two hiyo ada uliyolipiwa mpaka form four mi ningesagia mirungi huwezi kuidharau taaluma kwa ujinga wa mtu mmoja
 
Back
Top Bottom