Kwanini wasomi wengi akili zao ni Madudu

switch Off

Elimu ya Tanzania ni ya kukariri utajifunza nini kama si ujinga? usiwashangae wasomi wetu, mtu akienda Mlimani anaona kafika kumbe ni yale yale, anakwenda kukariri elimu ya juu na ndiyo maana akitoka huko hana chochote kichwani, ni sawa tu na kutokusoma.
 
switch Off,
Mimi mpaka sasa nimefukuza personal assistant 4, vijana wa sasa ni wajinga sana, ni graduate ila ni wapumbafu, kuna mmoja nadhani naye nitamfukuza tu maana unamuelekeza kazi na hajiongezi, yaani kuna tatizo pahala, kama siyo kukosa JKT basi kuna mahara wapinzani waliharibu fikra za vijana. Kuna umuhimu kuwathibiti wapinzani, maana unakuta eti kazi na bata ujinga.
 
Mimi si mwanasiasa na sipendi siasa,ila kwa hili usiwasingizie vijana,maama viongozi Wa vyama vyao ni watanzania kama sisi,na vyama vilianzishwa juzijuzi tu,miaka hiyo nayo vijana walikuwepo,kuna sehemu kama taifa tumekosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hiyo PC ilikuwa na pilau(p*@n) nini maana dah imekuuma kinyama
 
Acha mbwe mbwe..wanaojiita wasomi mpaka leo ndo wameifanya Afrika kua masikini kwa kupokea elimu robo iliyojaa misingi ya kigeni,lakini wasomi hawa hawajawahi kutengeneza jambo lenye kuleta mahitaji kwa watu duniani ili dunia itukimbile tufanye biashara. ni bure kabisa na ndiyo maana hata mitaani wasomi walio wengi ni masikini na wanaoitwa hawakusoma uchumi wao unakwenda sawia
Unatusi watu acha dhalau, si wote wenye tabia ulizo kutana nazo.

Jiulize ni kazi ngapi zinafanywa na wasomi nchini na zinaenda vizuri

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
switch Off,
Mimi mpaka sasa nimefukuza personal assistant 4, vijana wa sasa ni wajinga sana, ni graduate ila ni wapumbafu, kuna mmoja nadhani naye nitamfukuza tu maana unamuelekeza kazi na hajiongezi, yaani kuna tatizo pahala, kama siyo kukosa JKT basi kuna mahara wapinzani waliharibu fikra za vijana. Kuna umuhimu kuwathibiti wapinzani, maana unakuta eti kazi na bata ujinga.
Umeanza vizuri na kwa maelezo yenye tija ila umeharibu kabisa kwenye umaliziaji ulipochanganya na SIASA.

Ukweli kabisa kuna shida kubwa kwenye elimu yetu ya juu ya Tanzania.
Asilimia kubwa ya wahitimu wa vyuo vikuu uwezo wao wa kufanya kile walichosoma ni mdogo sana.
Inabidi serikali ifanye tathimini na kuchukua hatua ili kuokoa hiki kizazi.

Nimefanya kazi na hawa vijana, wako wachache wanaojitahidi ila wengi wao utawahurumia.
Vijana waliopitia VETA wanaonekana kufahamu kazi zaidi na wepesi kukua kitaaluma kuliko hao waliohitimu vyo vikuu.
 
.

Ninacho jiuliza ni kwamba, huyu kiumbe alishindwa nini kurudisha PC ili watu wengine wafanye kazi.

Sina hofu kuwa anaweza kunitapeli PC "kijana sio tapeli na hawezi kufanya ivyo" ila ndio amekwamisha kazi zangu kwa uzembe wake.

Ndugu zangu naomba mniambie hawa viumbe kwanini akili zao hazieleweki.

NB Sipo kwaajili ya kuwatukana watu kama hawa.

Kuhusu Laptop.nimemwambia kesho anitumie Kweye basi ili ifike kabla ya yeye kurudi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hujaonyesha sehemu aliyoshindwa kufanya kazi. Bali umeeleza kukwamisha kazi sababu ya kuondoka na PC yako.
Kichwa cha habari hakiendani na maelezo yako. Kwa hiyo, wewe ndiye mwenye akili ndogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
switch Off,
Mimi mpaka sasa nimefukuza personal assistant 4, vijana wa sasa ni wajinga sana, ni graduate ila ni wapumbafu, kuna mmoja nadhani naye nitamfukuza tu maana unamuelekeza kazi na hajiongezi, yaani kuna tatizo pahala, kama siyo kukosa JKT basi kuna mahara wapinzani waliharibu fikra za vijana. Kuna umuhimu kuwathibiti wapinzani, maana unakuta eti kazi na bata ujinga.

Hawa watoto wa sasa hivi ni vimeo tu!!... Kuna mtu anafanya kazi chuo fulani bas huwa naangalia zile papers zao naishiaga kucheka wanaandika uchafu tupu yy anapita na mikasi tu dadeq...coursework mtu anapata 2/20! Alichoandika sasa!
Alafu naskia ukitwist swali kidg tuu jua nusu ya darasa utawala vichwa ..naskia had waambiwe hapa ntatoa swali..sasa ukiwatolea nje ya ulichowapa bas watakosa wote wachache watapata .naskia hata kwenda bank kulipia ada kuna mengine hayawez mzaz anakuja kulipia bas baskia wakiona mzaz kapanga folen ya bank wanamtoa wanaema mwache kijana akalipe .eti hata kuandika tu kwnye ile form hayawezi..ujinga sana huu...wazazi badilikeni sana aisee!
Ukifika chuoni ndo ujue unaanza maisha !hapo hakuna cha wapinzani wala nn!
 
Mkuu hao wasomi ndo walofikisha nchi hapa anaingia mktaba yeye anapata aslimia mbili kwenye 100 kwa muda wa miaka 100.
 
Hawa watoto wa sasa hivi ni vimeo tu!!... Kuna mtu anafanya kazi chuo fulani bas huwa naangalia zile papers zao naishiaga kucheka wanaandika uchafu tupu yy anapita na mikasi tu dadeq...coursework mtu anapata 2/20! Alichoandika sasa!
Alafu naskia ukitwist swali kidg tuu jua nusu ya darasa utawala vichwa ..naskia had waambiwe hapa ntatoa swali..sasa ukiwatolea nje ya ulichowapa bas watakosa wote wachache watapata .naskia hata kwenda bank kulipia ada kuna mengine hayawez mzaz anakuja kulipia bas baskia wakiona mzaz kapanga folen ya bank wanamtoa wanaema mwache kijana akalipe .eti hata kuandika tu kwnye ile form hayawezi..ujinga sana huu...wazazi badilikeni sana aisee!
Ukifika chuoni ndo ujue unaanza maisha !hapo hakuna cha wapinzani wala nn!
Umeyatoa wapi haya
 
Acha mbwe mbwe..wanaojiita wasomi mpaka leo ndo wameifanya Afrika kua masikini kwa kupokea elimu robo iliyojaa misingi ya kigeni,lakini wasomi hawa hawajawahi kutengeneza jambo lenye kuleta mahitaji kwa watu duniani ili dunia itukimbile tufanye biashara. ni bure kabisa na ndiyo maana hata mitaani wasomi walio wengi ni masikini na wanaoitwa hawakusoma uchumi wao unakwenda sawia

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Hizi survey mnazifanyiaga wapi? Kitaa chenu ndo wasiosoma wana maisha mazuri kuliko waliosoma
 
Back
Top Bottom