Tanzania Nchi Yetu Sote
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 505
- 871
======> (TWENDE PAMOJA)
(1)MANENO mabaya yenye kukera HATA UPENDWEJE kama una maneno yenye karaha mfano ,huna lolote, dume suruali, mimi mrembo, nitakuacha, wewe malaya natongozwa nawengi nk. MWANAUME ATAYACHOKA MANENO YAKO nakujiweka kando
{2}KUOMBA VITU NJE YA UWEZO WA MWANAUME mfano unajua hana uwezo wa GOLD,iphone,apple nk ATAJIONA MNYONGE MBELE ZAKO NAKUJIWEKA KANDO. (JALI HALI YA MWENZIO)
(3)KUSIFIA MWANAUME MWINGINE MBELE YAKE mfano ndevu za yule kaka zimempendeza...... yule kaka anaumbo zuri..... MBWANA Samata NAMPENDA anavyocheza... UTAKIMBIWA nakuachiwa unaowasifia MSIFIE WAKO KWANZA.
(4)KUDAI NDOA mapemaa mfano mpenzi wako yupo chuo unaitaji akajitambulishe mahari na ndoa Akishindwa ndani ya mwaka huu unamuacha UNAISI UNATISHIA ili afanye hayo mwisho anajiweka kando,ATIMIZE NDOTO ZAKE
(5)KUZUNGUMZIA HABARI ZA WANAUME WAKO WA NYUMA nzuri au mbaya UTAONEKANA UNAWAKUMBUKA.
[6]KUMKOSOA MWANAUME WAKO MBELE YA MARAFIKI ZAKO utaachwa hii nisumu kwa mwanaume MWANAMKE HEKIMA si sura.
[7]KUTO MSIKILIZA MWANAUME kila kitu na wazo zuri unataka liwe lako UNATAKA UMUONGOZE atakuchoka MWANAUME NIKICHWA KUMBUKA
[9]MTU WA FASION kila nguo na kila mtindo unataka uwe wakwanza UTAONEKANA MKWAMISHAJI.
[9]HISIA MBAYA ulikuwa unaongea nanani? Una mwanamke mwingine, nk UTACHOKWA
[10]KUJIAMINI WE MREMBO SANA unachambu kila anaekutongoza NDO MAANA WANAOLEWA WADOGO ZAKO wenye sura kama ya Dr.ABEL WEWE UNAEJIITA MISS MALAIKA UNAENDELEA KUCHANGIA HARUSI ZA WADOGO ZAKO.
[11] KUTOLEWA OUT UNAALIKA TIMU ya mashost zako UTAONEKANA MFUJAJI wa pesa UTAACHWA wataolewa wale wanaotolewa out nakukataa kuku anakula WALI MAHARAGE
==============
Wadada niwatakie MABADILIKO
WANAUME nitawasema kesho