tehe!tehe!tehe!tehe!, inabidi hii comment ndo aweke mkichwa zaidi!
Mi ni kjana mwenye umri wa miaka 18 niko katika uhusiano na msichana kwa mwaka mzima sasa lakini huyu msichana hataki kufanya mapenzi na mimi eti kisa anahofia kuwa ntamchezea tu na kumuacha nimeongea maneno yote ya kujitetea lakni inaonekana kama ni kazi bure na nampenda sana licha ya kuwa na wasichana wengi duniani ki ukweli nae ananipenda kwa jinsi ninavyoona anasema eti nisubiri mpaka tuoane sasa wana JF eti anachonifanyia ni sahihi jamani???
Ushatest kuvaaa ndom ikakutosha?
Ushatest kuvaaa ndom ikakutosha?
Ha ha ha ha! Jamani. Hata kisheria wewe kijana bdo ktk umri wa kuoa mpaka 22 kwa katiba ya jmt.
Duh, we mtu ... umenitegua mbavu zangu! Teh teh teh
Mi ni kjana mwenye umri wa miaka 18 niko katika uhusiano na msichana kwa mwaka mzima sasa lakini huyu msichana hataki kufanya mapenzi na mimi eti kisa anahofia kuwa ntamchezea tu na kumuacha nimeongea maneno yote ya kujitetea lakni inaonekana kama ni kazi bure na nampenda sana licha ya kuwa na wasichana wengi duniani ki ukweli nae ananipenda kwa jinsi ninavyoona anasema eti nisubiri mpaka tuoane sasa wana JF eti anachonifanyia ni sahihi jamani???
kwani Revola imegoma?
Ushatest kuvaaa ndom ikakutosha?