Unamaanisha hiyo kitu yako hajawahi tafunwa wala kumezwa na yeyote??? Imeandikwa uliumbwa kwa udogo na udongo huo huo utarudi, kwa hiyo kwa vyovyote vile IPO siku utaenda mwenyewe haijalisha nn kimekuondoa
Hahahahahahhaaaa loohKwaito original nilifundishwa na bibi hadi nikaanza kuwa kuvutio kwenye minuso... siku hizi nimepumzisha kiuono kwanza.
Unataka twisheni? Bibi yuko fit kwenye hayo mambo ila amekuwa na chuki na hiyo kwaito eti imefanywa kama chips za uswazi... kila mwenye mia anakula!
Heshima kwenu wakuu,
Leo nina swali, Hivi kwanini hawa dada zetu wa Siku hizi hawajui kucheza muziki?
Yaani hata Mkienda wote kwenye sherehe akisimama kucheza hadi aibu, unatamani umwambie rudi ukae. Hivi hamjui Mwatuaibisha sisi wapenzi wenu? Mnazidiwa na hawa hawa wazee zikipigwa nyimbo za enzi zao wanacheza hadi wanatuzwa lakini nyie mnashindwa kucheza hata kwenye harusi za Marafiki zenu, mnakaa busy na simu mnachat, utafikiri mumeenda kwenye mashindano ya kuandika nsha kwa kutumia simu.
Mwingine unakuta anajitingisha huku kabetua midomo na kuzungusha vidole juu wakati kakaa kwenye kiti..Makubwa..!!
Mwingine unakuta kajaza kwenye Simu yake watu wakikata mauno, Mkiwa chumbani Mwambie afanye usikie jibu lake.
Utasikia wale ni wahuni mara wale hawana sitaha. Sitaha gani hadi chumbani mkiwa wawili na mpenzio? Ndo maana hamtolewi out. Mnaowaita wahuni ndoa zao zinadumu na zinafuraha.
Yaani nyie mnachojua ni kupepeta mdomo na kulaumu na wivu wivu wenu usio na Misingi.
Kwanini mnakuwa hivo lakini!!??.
Mia
Atleast wife wangu anajitahidi..Anaweza kuandika 1 hadi 10 kwa kiuno..Napenda zaidi akiwa anaandika namba nane
hahahaha mzee mwenzagu kazi ipo sana.........ni kama vita ya Russia na NATO
Heheheiyaaaaaaaaaaaaa tunaomba break
Yani siku hizi vigezo vya kuolewa vimeongezeka mwee. Ngoja nijifunze zangu kisingeli huku. Hukawii kuwa disqualified kisa hukijui tu kisingeli
Hebu twende nikakukatikiee, naona una ham
Mzee wa Mia,
Hili ni tatizo la mtu binafsi au kikundi cha wanawake unaowajua au ni wanawake wote wa siku hizi?
Wale wa 1947 kama ulivyosema wanatisha....Ukimpigia ndombo ya solo, ikinda inkoyi, nzawisa, mayenu, twist, bumbing ni mingine ya namna hiyo unabaki mdomo wazi!
Nasubiri jibu huku tunacheza na bibi...
Babu DC!!
Imeshawahi mezwa tu sio kutafunwa ,sina shida na kurudi kwenye udongo tatizo ni hiyo njia yako unayotaka kutumia kunirudisha kwenye udongo ,nenda tu mwenyewe mama ,mimi nipo bado ,ila usijali kuna wadau wana roho ngumu watatokea hapa uwape lift ili usiwe umefanya kazi bure ,
Aiseeee umeniamgusha sana
Mbona unanitisha? wewe jike au dume?
Hahahaha shindwa
Ni sehemu ya ibada hiyo sasa unaposema nishindwe wamaanisha nn
Mama niache mtoto wa watu jamani sitaki
he!..kwani na wewe hujui kucheza!?