Kwanini wasichana wa siku hizi hawajui kucheza Muziki hata wakiwa chumbani?

Unamaanisha hiyo kitu yako hajawahi tafunwa wala kumezwa na yeyote??? Imeandikwa uliumbwa kwa udogo na udongo huo huo utarudi, kwa hiyo kwa vyovyote vile IPO siku utaenda mwenyewe haijalisha nn kimekuondoa

Imeshawahi mezwa tu sio kutafunwa ,sina shida na kurudi kwenye udongo tatizo ni hiyo njia yako unayotaka kutumia kunirudisha kwenye udongo ,nenda tu mwenyewe mama ,mimi nipo bado ,ila usijali kuna wadau wana roho ngumu watatokea hapa uwape lift ili usiwe umefanya kazi bure ,
 
Kwaito original nilifundishwa na bibi hadi nikaanza kuwa kuvutio kwenye minuso... siku hizi nimepumzisha kiuono kwanza.

Unataka twisheni? Bibi yuko fit kwenye hayo mambo ila amekuwa na chuki na hiyo kwaito eti imefanywa kama chips za uswazi... kila mwenye mia anakula!
Hahahahahahhaaaa looh
 
Heshima kwenu wakuu,

Leo nina swali, Hivi kwanini hawa dada zetu wa Siku hizi hawajui kucheza muziki?

Yaani hata Mkienda wote kwenye sherehe akisimama kucheza hadi aibu, unatamani umwambie rudi ukae. Hivi hamjui Mwatuaibisha sisi wapenzi wenu? Mnazidiwa na hawa hawa wazee zikipigwa nyimbo za enzi zao wanacheza hadi wanatuzwa lakini nyie mnashindwa kucheza hata kwenye harusi za Marafiki zenu, mnakaa busy na simu mnachat, utafikiri mumeenda kwenye mashindano ya kuandika nsha kwa kutumia simu.

Mwingine unakuta anajitingisha huku kabetua midomo na kuzungusha vidole juu wakati kakaa kwenye kiti..Makubwa..!!

Mwingine unakuta kajaza kwenye Simu yake watu wakikata mauno, Mkiwa chumbani Mwambie afanye usikie jibu lake.

Utasikia wale ni wahuni mara wale hawana sitaha. Sitaha gani hadi chumbani mkiwa wawili na mpenzio? Ndo maana hamtolewi out. Mnaowaita wahuni ndoa zao zinadumu na zinafuraha.

Yaani nyie mnachojua ni kupepeta mdomo na kulaumu na wivu wivu wenu usio na Misingi.

Kwanini mnakuwa hivo lakini!!??.

Mia

??????????
 
Mzee wa Mia,

Hili ni tatizo la mtu binafsi au kikundi cha wanawake unaowajua au ni wanawake wote wa siku hizi?

Wale wa 1947 kama ulivyosema wanatisha....Ukimpigia ndombo ya solo, ikinda inkoyi, nzawisa, mayenu, twist, bumbing ni mingine ya namna hiyo unabaki mdomo wazi!

Nasubiri jibu huku tunacheza na bibi...

Babu DC!!

Mkuu ni baadhi ya walio wengi. Mi huwa nashangaa sana. Mke ntakaye muoa ana kazi ya ziada. Nina mpango wa kumfundisha yale niyapendayo. Sio anaenda kuimba hata choir kanisani wenzie wananyanyua mguu yeye anashusha, wakienda kulia yeye kushoto. Ntamfundisha mengi lazima.
1. Wigi marufuku
2.Kujipaka marangirangi usoni mwiko
3.Akijichubua talaka.
 
Na wale ambao wanatwerk kila siku ni wanaume au..... We sema umekumbana na gogo halafu unafanya judgment ukiwajumuisha wote ... Wapo mafundi mzeee... Na mafundi huwa hawajionyeshi hutaamini kma ni wao wanafanya hvyo
 
Imeshawahi mezwa tu sio kutafunwa ,sina shida na kurudi kwenye udongo tatizo ni hiyo njia yako unayotaka kutumia kunirudisha kwenye udongo ,nenda tu mwenyewe mama ,mimi nipo bado ,ila usijali kuna wadau wana roho ngumu watatokea hapa uwape lift ili usiwe umefanya kazi bure ,

Aiseeee umeniamgusha sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom