1.Nape Nnauye
2.Hussein Bashe
3.Enzi za Mzee Lembeli
4.Mzee mwandosya
5.Nyalandu naye anaibukia.
Hawa wote katika maoni na mienendo ya yao hawavunji sheria wala katiba ya nchi na hata ile ya chama lakini utawala ndani ya chama uwachukulia kama wasaliti....tatizo ni nini? Kwanini chama kikubali kuwapoteza wakosoaji kama hawa bila sababu za msingi? je upinzani ndipo panapaswa kuwa na watu wenye mawazo chanya au ni ndani ya chama tawala ?