Kwanini wasanii wengi duniani hufa ghafla

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Ni jambo lisilopingika kuwa wasanii wengi duniani vifo vyao hutokea kwa ghafla hali ambayo wengi wetu inatupa wakati mgumu mf:Michael jackson whitney yuston lucky dube anjela chibalonza na sasa Steven kanumba NINI KINACHANGIA WAO KUPOTEZA UHAI WAO GHAFLA?
 
Du mkuu ebu fikiria kwanza kwani kunakua na vifo vya kupangwa au kupanga? Vifo vyote ni ghafla coz haujui siku wala saa!! Kikitokea tu ujue ni gafla hata ukiwa ICU na ikatokea mtu kavuta basi ujue ni gafla.
 
i think ghafla alosema mkuu hapa ni ile unckia jamaa katembea na yesu but no news za kuumwa na no where to trace about the cause of death.@King Kong III,au co @Apolonary. Kama kuna m2 anajua chanzo cha mwana kuvuta atumegee basi @ JF Memberz
 
R.I.P. Kanumba u dd alot 2 bost Bongo Movies industry in Tanzania.We will alwyz remember u the Legend
 
Wanasema kasukumwa kagonga shingo, mara kapewa sumu, mara kanywa mwenyewe.
Wanamgombania lulu yeye na ray.
Yani ni utata tu.
Ndo ivo tn aloenda ameenda, tunaumia mpk tunakufuru na kuanza dhana, na shuku. Kweli kutangulia kunauma haswa kwa unaempenda
 
1. MARLYN MONROE (USA)
2.ELVIS PRESLEY(USA)
3.2PAC SHAKUR(USA)
4.CHRISTOPHER WALLACE B.I.G.(USA)
5.NATE DOGG(USA)
6.PEPE KALLE(ZAIRE /DRC)
7.ABETI MASIKINI(ZAIRE)
8.MICHAEL JACKSON(USA)
9.AALIYAH(USA)
10.WHITNEY HOUSTON(USA)
Wao ni maarufu na maisha yao yanagusa watu wengi kwa hiyo vifo vyao vina mshtuko mkubwa zaidi:nod:
 
mkuu watu wengi wanakufa gafla,ila tunapowaona wasanii wanakufa tunadhani wamekufa gafla kumbe ni kwa vile wana majina na wanasikika sana,but watu wengi wanakufa gafla sema tu hawajulikani kwa vile hawasikiki,hawajaonekana au kutoa msaada mkubwa ktk jamii
 
Mimi nionavyo ni kwamba wote wanakufa vifo sawa na kabwela yeyote tu sema kwa vile wanajulikana mno ndio huleta tension kubwa sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom