umenifanya niangalie jina la mleta mada,kumbe ndo huyo alafu ndiye anayetoa milio? Huenda nae amefikiwa,Wewe ni miongoni mwa Wajinga mnaotumikishwa na mnalipwa, mara zote tumekuambia serikali ya Tanzania imekufa huelewi, Usitupigie kelele
Maadili ya Taifa ni yapi?
Weka hapa hayo maadili ya Taifa ambayo police haitoshi kusimamiaYapo
Yapo!
Na sidhani kama Kuna haja ya kuingia kwenye debate katika hayo.
Kwahiyo mkuu wewe unapinga wasilipe kodi?Ninajitahidi kuelewa ila nimeshindwa kabisa kuelewa kwanini wapika keki wasajiliwe na BASATA. Kama sherehe ni matukio ya sanaa inabidi hata BURIAL CEREMONIES nako wahusike pia. Wasajili wapishi, wachimba kaburi, na waendesha ibada za maziko.
kwangu mimi hii sheria ya BASATA kusajili hadi wapika keki ni ya kipumbavu zaidi kuwahi kutokea. Ikumbukwe hawa ma-DJ na wapika keki wengi wao wamesoma ila ajira ikawa ngumu ndo wakaamua kujitafuta kwa namna yao bila kuvunja sheria. Sasa mnakuja na sheria za kuwadhibiti badala ya kuwapa moyo kusonga mbele??!!!... mnavyowakatisha tamaa mnataka waende kuwa wahalifu?
Ninawasihi wabunge kufanyia marekebisho sheria hii ya kijinga ili kuzuia huu upuuzi wa BASATA unaoendelea.
Ndio ujue upumbavu na ujinga wa serikali yako na huyo unaempamba,chawa bangladeshiiiiWewe nyumbu ninaongelea jambo la kitaifa.. acha kuleta uchama hapa.
Kwani mkuu ukificha ujinga wako utapungukiwa nini?Kuna keki wanaweka maneno ambayo hayana Maadili.
Kuna sehemu nimesema wasilipe kodi? Ninajua kila kipato lazima kilipiwe kodi kwa mujibu wa sheria kupitia TRA. Kama muuza keki ana vigezo vya kulipa kodi basi alipe kupitia TRA kama wapishi wengine na sio BASATA. Keki ni chakula hakihusiani na sanaa.Kwahiyo mkuu wewe unapinga wasilipe kodi?
Nilifikiri ungesema wapewe mashine za EFD watoe risiti
Unapika keki? Mbona umekuwa mkali sana kwenye hili suala wakati kuna mambo mengi tu ya hovyo zaidi ya hili CCM wamekuwa wakifanya na hujawahi kusumbuka?Kwani mkuu ukificha ujinga wako utapungukiwa nini?
Mimi sijawahi pika keki na wala sijawahi fanya biashara yoyote inayohusiana na keki. Nimekuwa mkali kwa sababu hili jambo linaenda kuwaathiri vijana wengi wadogo wanaojitafuta.Unapika keki? Mbona umekuwa mkali sana kwenye hili suala wakati kuna mambo mengi tu ya hovyo zaidi ya hili CCM wamekuwa wakifanya na hujawahi kusumbuka?
Mapishi ni sanaa mkuu.Kuna sehemu nimesema wasilipe kodi? Ninajua kila kipato lazima kilipiwe kodi kwa mujibu wa sheria kupitia TRA. Kama muuza keki ana vigezo vya kulipa kodi basi alipe kupitia TRA kama wapishi wengine na sio BASATA. Keki ni chakula hakihusiani na sanaa.
Basi wasajiliwe wapishi wote.Mapishi ni sanaa mkuu.
Ulizia wachaga wanavyohaha kupika chapati
Funika domo lako wewe mama haukua mkali wakati hao vijana wadogo wanaojitafuta wakati wanapigwa risasi mpaka kufa ujifanye mkali kwa wapika keki matako ya bibi zako.Mimi sijawahi pika keki na wala sijawahi fanya biashara yoyote inayohusiana na keki. Nimekuwa mkali kwa sababu hili jambo linaenda kuwaathiri vijana wengi wadogo wanaojitafuta.
Kuna ubaya gani watu wanaopata mapato kulipa kodi ? Mbona Erythrocyte ulikuwa unaonekana mjanja na mjuzi wa mambo? Kweli nyinyi ndiyo wa kubeza kusanyo la kodi za Mcs na wapika keki?Na wenzake ChoiceVariable Stuxnet