Kwanini wapenzi wangu wanapenda kusafiri usiku?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,332
Reaction score
5,843
Nimejiuliza sana swali hili lakini sijapata jibu.
Nimekuwa na wapenzi ambao hupenda kusafiri muda wa jioni sana ili afike aendako usiku.

Wa kwanza tuliachana nae kwa sababu nyingi.Huyu niliye naye sasa,hata kama anaenda safari ndefu, atajichelewesha wee ili apate usafiri unaomfikisha usiku huko aendako.
Nauliza hii maana yake nini?Au ni kwa nini huwa wanapenda safari za usiku?
 
Punguza anxiety upate peace of mind
 
Kwa hiyo hata kama anatoka Dar kwenda Mwanza atajichelewesha wapi ili afike usiku?
 
Anaweza kutafuta bus linaloondoka saa 3 Dar ili mradi sehemu kubwa ya safari iwe usiku.

Hata leo anasafiri ila safari ya masaa 12 ameianza saa Tano Asubuhi
Kwa hiyo hata kama anatoka Dar kwenda Mwanza atajichelewesha wapi ili afike usiku?
 
Kwenda kazini pia anaenda usiku? Kusuka anaaenda usiku? Sokoni anaenda usiku?

Haya bwana. Tulizana angalia mambo ya maana. Acha mawazo ya kishirikina.
 
Basi gani la Mwanza linatoka Dar saa 3?
Labda anapanda zile wanazopanda wafanyabiashara,wanafungua biashara mchana kutwa jioni wanaanza safari asubuhi unaamka nao Dar wananunua mizigo usiku tena wanapanda kurudi Mwanza.

So nae itakuwa kuna biashara anafanya jamaa apeleleze vizuri usikute anakula vichwa Mwanza na Dar.
 
Hao ni kama mimi,huwa sipendi majirani mambo yangu kwa sababu wakikuona umebeba begi lazima wajue ulikuwa safari.
 
Itakuwa ni ile kanuni kwamba ^hawapendi nuru ili maovu yao yasionekane.^ So, wako kama wachawi, giza ndiyo uwanja wao wa kujidai. Waovu hawanaga furaha kwenye nuru.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom