Kwanini wapenzi wangu wa zamani hawaolewi?

Some want me back tho....,n wat if i was soo good to them n they see non to replace?..sababa,ma x wangu woote had leo tunawasiliana vzur
May be, but I'm sure if you treated them well hata hao ma x wasingekuwepo, ungekua na mmoja tu ambaye angekuganda kwa mapenzi yote na kukuvumilia kwa yote bt seems you discouraged them ndyo maana huhuuu.
 
Wakuu,

Sio kwamba nafurahi ila najiuliza, je au sampuli zangu zinakuaga sio (wife material) au je, kuna uhaba wa sisi wanaume kiasi hiki ama inakuaje?

Hawa wadada ni warembo na wanavigezo vyote ila yaani katika idadi yao ni wawil tuu au je ni umri ila sidhani kama umri maana wote wamemaliza vyuo miaka zaidi ya m3 iliyopita etc, recent one kamaliza mwaka jana.

Na mmoja ni mtu mzito sana kwenye kampun1 ya simu hapa Tz.
Uliwaachia gundu
 
Kama uliwaaacha wewe aoe nani sasa ?
Wewe usha oa? Wadada wa JF mtizameni huyu kiumbe kwa jicho la 3.
Gundulism.com
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom