Kwanini Wapare waliamua kukaa milimani?

Kwanini Wapare waliamua kukaa milimani?

lafudhi yao ,samaki=thamaki, supu=thupu ,sabuni=thabuni, sokoni=thokoni ,siasa=thiatha....yani kila kwenye S wanaweka th
 
Kama unajua jiografia ya KLM vizuri utagundua kwamba eneo kubwa ni milima. Mabondeni kunajaa maji kipindi cha mvua
 
Kwani umeleta thread hii Ni uvivu wa kufikiri ulio Na
 
hawa watu sitowasahau....ndugu yangu mmoja alizaa na mkaka wa kipare ..baada ya miaka michache wakafunga ndoa kwa furaha na ndugu walimpenda sana na kuishi nae vizuri huyu dadangu..sababu mme alikua mtu wa kusafiri nje ya nchi kwa dili zake.
baada ya miaka miwili mitatu yule mme akapata matatizo akiwa kwenye ndege kuja tz..akafia hosptali hukohuko.
huku dada alivopewa taarifa ya msiba akawa anazimia kila baada ya muda mfupi anaolia na huku anakichnga mwingine ambae hajafika hata miezi mitatu na anategemea maziwa ya mama
msiba ukawa kwao mume.sasa kuna ndugu nai huku wakaenda hadi nyumbani kwa mume na mke wanapoiahi..funguo sijui wameipataje..wakafungua na kuanza kupekua chumbani.kwenye kabati...pekua pekua
hati za viwanja..mashamba..kadi za bank..na vitu vingine vya maana wakalomba vyote..
wanarudi msibani wanaanza kujiliza.
mke kamaliza matanga na eda hajui hata atakula nini..kajitahidi mwisho kashindwa..kawaachia samani za ndani wakwe..vitu vyenu hivyo..ye kasepa kwao!
 
Hiv Kwa nini raisi anakaa IKULU, kwa nn isiwe ofisi tu. Haihusian na mada lkn
 
Hizo tabia sio wapare Kila jamii wanayo ya wivu wa vitu vya mawifi zao, na tena nyie mawifi ndio mnazingua mtu akioa mnataka kumtawala hadi mkewe,hivyo hiyo issue yako ya kuona wapare haina mashiko maana mambo hayo yapo kila Kabila nina hakima ukianzisha uzii unaweza kuta kabila lenu ndio linaongoza [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
 
Back
Top Bottom