Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Soma maandiko vyema, Sodoma na Gomora ziliangamizwa baada ya wanaume kwa wanaume kuanza kulana! Ukisoma Biblia kitabu cha Walawi nadhani sura ya 18 au 21, verse za mwisho mwisho, inasema kulala na mwanaume, mfano wa mwanamke ni machukizo kwa Mungu!

Hakuna sehemu inayokataza kujiburudisha na mwanamama kwa njia hiyo!
Usiishie hapo tu. Hebu soma Warumi 1:26 uone inawazungumziaje wanawake. Na ukishasoma, usiniambie kulikuwa na dildo enzi hizo(kwamba wanawake walifanyana wao kwa wao)
 
Mzizimkavu tuambie mume wa Elton John yeye mbona hajapata hii kesi na wengine wengi tu mfano wake (ambao wamejitangaza na kuoa rasmi)
 
Mi nasikitika sana kwa yule mshenzi kunivurugia historia yangu baada ya kunibadilishia gia angani nikamtatua rinda hivi hivi
 
Dah nilisoma zamani sana hadi nimeona uvivu kuimaliza tena maana ilinigusa sana.
Asante kwa kutukumbusha
 
Back
Top Bottom