Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Umeandika kwa uchungu sana.
Utakua ushafiiiii...rwa siku siyo nyingi.
Natanguliza samahani lakini

Sent using Jamii Forums mobile app

unajua wanawake mi siwaelewagi...... kuna mmoja nilimjaribu akajifanya mkali kweli..... japo head ilizama... ila tuligombana mno kupelekea wiki nzima naomba msamaha..... lakini juzi kati nashangaa anajifanya bebi fanya km siku ile....... ananibembeleza..

usikute na huyu kaja kuona maoni yakoje.... maana alichokiandika ni urongo tu.
 
Sio imani tu hata akili pia.
Kuna makosa katika sheria hata za nchi zinatofautiana ukubwa wake na hukmu zake.

Hukumu ya mtu ambaye amelawiti mtoto mahakamani ni tofauti na hukumu ya mtu ambaye kaiba.

Hata serikali tu inatofautisha baadhi ya makosa.mpaka yapo makosa hukmu yake kunyongwa.

Ikiwa kuna imani ambayo haionyeshi utofauti na ukubwa wa madhambi alafu ikawa inamchukulia mwizi ni sawa na mfanya liwati,muongo ni sawa na muuwaji basi nadhani imani hiyo inawapa nguvu kubwa sana hawa wafanya hivi vitendo viovu kwa kutegemea kwamba hata wakiepuka hiyo dhambi kuna zingine watafanya hivyo wacha waendelee tu na huo uliwati wao.

Lakini pia inakuwaje dada Khantwe utake tukemee wizi kwenye mada ya liwatwi?

Lazima tusimame tukemee pasi na kuangalia mambo mengine ilhaali muktadha unahusisha jambo fulani maalum nasi tuende na hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema mkemee uongo kwenye uzi wa ufi.raji ila wewe pia huwa na kuona unashadadia uzinifu wala sijawahi kuona unawakemea wazinzi kama hapa mishipa inavyokutoka. Kwenye imani yangu tuna adhabu moja tu ya mtenda dhambi nayo ni jehanamu ya moto wa milele haijalishi huyo mtu alidokoa nyama jikoni au aliua
 
unajua wanawake mi siwaelewagi...... kuna mmoja nilimjaribu akajifanya mkali kweli..... japo head ilizama... ila tuligombana mno kupelekea wiki nzima naomba msamaha..... lakini juzi kati nashangaa anajifanya bebi fanya km siku ile....... ananibembeleza..

usikute na huyu kaja kuona maoni yakoje.... maana alichokiandika ni urongo tu.
Mpenda tigo ushindwe ushindwe na roho yako ichomwe kuzimu bila hata huruma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijasema mkemee uongo kwenye uzi wa ufi.raji ila wewe pia huwa na kuona unashadadia uzinifu wala sijawahi kuona unawakemea wazinzi kama hapa mishipa inavyokutoka. Kwenye imani yangu tuna adhabu moja tu ya mtenda dhambi nayo ni jehanamu ya moto wa milele haijalishi huyo mtu alidokoa nyama jikoni au aliua
Uzinifu huwezi kufananisha na ufirraaji.
Ndo mana kaumu lutwi waliangamizwa kwa dhambi hiyo kuonyesha hata Mungu aliona awatandike hapa duniani ili sisi tuone ukubwa wa hiyo dhambi.

Lakini pia naona unashindwa kutofautosha muktadhwa maaalumu na mambo ya ujumla.

Mtu akikuuliza kwamba afanyeje adumu muda mrefu kwenye tendo.kwa imani yangu hainiambii nianze kumuuliza kama umeoa au hujaoa bali nampa ushauri kulingana na swali husika.na wala sio kazi yangu na dini yangu hainifundishi hivyo kipekua pekua.

Ila mtu akijidhihirisha kwamba anazini moja kwa moja hilo sawa sawa.ama mtu akajidhihirisha mfanya liwatwi hapo tunaenda na mada husika.

Sasa naona unataka nimhukumu kila mtu uzinzi ilhali mambo hayako wazi.

Hata wewe pia siwezi nikakuhukumu uzinzi bali nakuchukulia ni mtu una ndoa yako.ukileta mada ya mapenzi nakuchukulia ni mtu una ndoa yako pia wala sitowaza kwamba landa unazini au vipi.

Sasa ichunguze upyaaa imani yako ambayo haitofautishi madhambi makubwa zaidi ambayo adhabu zake ni kali na madhambi ya wastani ambayo adhabu zake sio kama zile.

Hoja zako zinatetea wafir..aji na wafanywaji kwa sababu zinawafariji na kuwaaminisha watakuwa sawa na yule muiba kuku wa pale sinza,hivyo wanaendelea nazo na kujigamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!!!!!
Nimeshindwa kusoma hadi mwisho.. kwa kujikuta nimeanza kusikia kichefuchefu..

Kila la kheri na yenu hayo

🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️

Wengi wanaojifanya hawataki ndiyo huwa mafundi wa hii mambo....kama wewe
 
Mchezo huu umekuwa ukipendwa sana na wanaume wengi ambao wengi wao huwa hawatumii kinga na kusababisha wengi kupata magonjwa ya zinaa pamoja na maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU).

Lakini mchezo wa kuruka ukuta umekuwa na madhara makubwa sana kwa wanaume wanaoufanya kwa muda mrefu.

Tulipoangalia upande wa wanawake, tuliona sehemu kubwa ya wanaopenda mchezo huu ni wanaume ambao wengine wamebatizwa majina ya ‘basha’, wakimaanisha mwanaume mpenda kuruka ukuta bila kujali kumtumia mwanaume mwenzake au mwanamke.

Kwa vile nia ya kona hii ni kuelimisha madhara ya mtu kupenda kuruka ukuta ili aache mara moja, tunaendelea kutoa elimu ya bure ili mtu yakimkuta ajue yamempata kwa kiburi chake na kwa kupenda starehe ya kipuuzi.

Madhara anayoyapata mwanaume anayependa mchezo huo ni kama ifuatavyo:

Kwanza: Husababisha kusinyaa au kuweka makovu kwenye njia ya haja ndogo.

Pili: Njia ya haja ndogo kuziba kiasi au kuziba kabisa.

Tatu: Kupata saratani (kansa) ya tezi za figo (prostate gland).

Nne: Kupata magonjwa sugu ya uti wa mgongo.Tano: Kuharisha.

Sita: Maambukizi ya VVU ambapo mwisho wake ni Upungufu wa Kinga Mwilini (Ukimwi)

Saba: Baadaye mhusika kupata msongo wa mawazo au sonona kwa kujutia tendo hilo.

Nina imani ndugu yangu umeona madhara mabaya sana ya tabia hiyo mbaya. Inawezekana umezoea mchezo huo wa kuwaingilia wenzako na kuona raha lakini tumeona madhara yake, ambayo kwa hakika kama wewe ni mmoja wao, unatakiwa kuacha mara moja kwa vile mwisho wake ni majuto na mateso.

Jiepushe kuiga mambo bila kujua faida na hasara zake pia usimtie mwenzako majaribuni kwa kumlazimisha kuingia kwenye mchezo huo.

Wanawake wengi wamekuwa wakilazimishwa na wanaume kuingiliwa kinyume na maumbile kwa kuwatishia kuwaacha kama watakataa.Swali linakuja, kipi bora, kuharibiwa au kuachana?

Kumbuka baada ya kuharibikiwa, thamani yako hushuka na sifa yako ikiwafikia waharibifu wa watu, basi unageuzwa jamvi la mtaa na hatimaye unakufa kwa msongo wa mawazo au mateso ya ugonjwa utakaupata baada ya kukubali kuingiliwa kinyume na maumbile.

Unaweza kushangaa baada ya kuelezea madhara yanayowapata wanaume nimehamia kwa wanawake.

Ukweli mchezo huu umewaathiri sana wanawake ambao wengi wanaujutia.

Sent using Jamii Forums mobile app
madhara ni kwa wale wanaofanya mara nyingi mimi nafanya mara kidogo sana tena kwa dem wangu mmoja tu SWEET & HOT
 
Back
Top Bottom