Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Jamani sijauliza ili mnitete au kuniuliza yasio jenga nimefata ushauri na ntayafanyia kazi nataka kuacha kweli. Mi sijui iliingiaje au alitumia nini kufanya iingie na ninogewe papo hapo na sababu nliopewa ni iyo kua alipitiwa kisa pombe. Ila tangu siku iyo siwez kuji control kila nifanyapo nasubir anifanye ila nkiwa kawaida au katika hali yakutulia nafsi inanisuta. Mnaofanya utani asanteni mbarikiwe mnaoni consider nashukuru kwa ushauri wenu. Swali langu la mwisho je nikitubu hii dhambi kweli itafutwa?
Ile tu kujutia,
Ile tu kuinesha nia ya kuacha
Ile tu kuomba msaada,
Inaonesha wewe ni mtu bora ila umepita njia mbaya,
La msingi usijikatie tamaa,
Wapo watu humu wanafanya sana hivyo na hawajutii maana wanapenda sana,
La msingi jitambue,usijikatae maana ukijikataa utaishia kubaki hukohuko,
Anza sasa kukataa tokea ndani jambo hilo,
Muambie jamaa yako haupendi na hautaki tena jambo hili,
Hii itaweka ukuta wa yy kutaka,
Lkn itakurudishia heshima yako,
Na itakupa mwanzo mzuri wa kushinda hili,
Kuhusu kusamehewa,
Mungu ni wa huruma sana,
Weka dhani ya nia maana Mungu huangalia nia ya dhati na atakusaidia,
Usiache sala,funga na matendo mema
 
Kwa jinsi navyoelewa hiyo michezo alikuanza kwa kukutia vidole wakati mnatumia njia kuu na wewe ulikua unasikia raha na ukakubali aendelee alivyoona umezoea vidole akaamua akusukumie nondo kabsa......
Ukitaka kuacha
1. Ongea na mwenza wako kuwa hutaki huo mchezo maana una madhara sana.(usiombee ukajifungulie hospital ya goverment utajuta, ukipush hewa inatoka tu mpaka usukumiwe matambara).
2. Akikataa kuacha wewe ndio muache. Itauma ila haizidi madhara unayopata. Tundu kuwa wazi sio jambo zuri... Kuna muda unaweza kukaa ukakuta matako yameloa tu...
3. Badili marafiki, I am sure una marafiki wanakusupport.
4. Mrudie Mungu wako na fanya toba. Jiapize hutarudia tena na unachukia tendo hilo. (Hii yaweza kuwa hatua ya kwanza).
5. Jipe likizo ya uzinzi (yes uzinzi kwa kuwa unafanya nje ya ndoa). Kaa hata miezi 6 hufanyi mapenzi, muda huo utakua unajitafakari na kujipa muda wa kubadilika na utafute anayekufaa....

Wish you the best of all...
Heri ya siku ya mwanamke...
Mkuu salute,
Lkn ingekuwa rahisi sana km wote wangenia kuacha,
Hebu ajaribu kuongea na mwenzake ili waweke nia wote ya kuacha,
Hii itafaa zaidi,akigoma aachane nae,
 
Jamani sijauliza ili mnitete au kuniuliza yasio jenga nimefata ushauri na ntayafanyia kazi nataka kuacha kweli. Mi sijui iliingiaje au alitumia nini kufanya iingie na ninogewe papo hapo na sababu nliopewa ni iyo kua alipitiwa kisa pombe. Ila tangu siku iyo siwez kuji control kila nifanyapo nasubir anifanye ila nkiwa kawaida au katika hali yakutulia nafsi inanisuta. Mnaofanya utani asanteni mbarikiwe mnaoni consider nashukuru kwa ushauri wenu. Swali langu la mwisho je nikitubu hii dhambi kweli itafutwa?
Bwana anahuruma siku zote kwa wote wamwitao kwa kunuia, hakuna dhambi isiyo samehewa labda kumkufuru roho mtakatifu kama upo upande huu, kaa chini mwambie Mungu dhambi hii siitaki nisaidiye niiache pekeyangu sitaweza, fanya ibada huyu me ndiye kakuingiza huko hivyo hakufai mwambie Mungu akupe mtu sahihi usiogope kuachwa watu waachwa na mme tena wa ndoa itakuwa wewe mwingine anatolewa posa na mchumba anasepa hivyo hivyo muuache aende tubia dhambi yako panga siku 3 kaa na Mungu wako akupe jibu lako kaa mwenyewe ikiwezekana zima simu funga siku 3 ukitoka mlimani utaniambia fanya hivyo Mungu atapokea maombi yako, nakutakia kilà raheri katika maombi yako.
 
Kuna watu hapa mnajifanya watakatifu sana mnajua kunyosha vidole sana ila kumbe nyie mnatoa tigo sana tena bila hata majuto.. Acheni kujifanya nyie ni watakatifu.... Haka kamchezo wadada wengi siku hizi mnavipenda sana
Safi sana
Sanaaa,
Nimependa hako kamstari bila hata majuto,
Nimemueleza mdau,ile tu kujutia ni mwanzo wa ushindi na wewe ni mwanamke muadilifu,
Maana wengine wanatoa na hawajutii,
 
Pole sana binti. Unaweza kufurahia huo mchezo kwa muda mfupi lakini badae utajutia zaidi ya sasa.
Ongea na mwenzio muambie hutaki huo mchezo huku ukionyesha kweli unamaanisha.
Lakini kama aliwahi kumwaga maji mazito ndani nenda hospital ukapatiwe tiba ya kusafishwa ili kukuepusha kuendelea kuhitaji huo mchezo.

NB,
Bila kwenda hospital bado mwili wako utakua unahitaji hicho Kitendo kwa maana utakua unahisi mtekenyo na no way zaidi ya kufanya.
Hospitali wakafanye nini,
Acha uongo wewe,
Acha kuokoteza habari za kwenye kahawa unaziaminisha kwa watu,
Hilo jambo lipo ndani yake,ni km kuvuta sigara,ulevi,na hata umalaya wa kawaida,
Ni jambo la maamuzi ya muhusika
 
Daaah hawa ndo wake tuonaokuja kuoa sis. Yan mtu kumharib harib afu kuna mtu mwingne atamuoa afu uyu jamaa ataenda kuharib mwingne tena daahh.
Ndo maana nikisema,aanze kwanza kumwambia jamaa yake aache mchezo huo,yamkini akamponya na yy,
Akawa ameokoa kizazi,akisema aachane nae kimya kimya anakuwa kalisakizia tatizo hilo kwa wengine,
Hebu yy ageuke na awe chanzo cha mabadiliko na mwalimu mzuri,na haya ndo malipizi bora kwa toba ya dhambi hiyo,
Kuokoa na wengine,
Mdau awe strong na amsaidie kumuokoa kwa faida ya wengine
 
Ujue Mkuu hata mie nimejikuta nawaza kwa sauti halafu nikakosa jibu.

Nimemuelewa sana pale aliposema toka aanze Chuo amekuwa na tabia ya kujaribu jaribu vitu tofauti na hiyo ndio sababu ya kilichotokea hizo nyingine mie naziona porojo tu.
Na ndio shida ya watoto wa geti kali akifika chuo Uhuru 100% anajaribu yote aliyokuwa hapati nafasi kuyafanya
 
Inasikitisha vijana wengi wameona bira kuingiliwa/kuingia topeni wewe sio mjanja.. Kanda za ngono zinatualibu sana vijana wa sasa.. Anyway dada yangu sitaki kukulaumu moja kwa moja maana vijana wengi tumejikuta tumelowea umo either kwa kurubuniwa na wapenzi au kutaka kujua chungu au tamu yake ini hipi. Ikiwa unauchukia kwa dhati uo mchezo ni vema ukamwone daktali (usione haya) kama jama aliwai kumwagia shahawa zake umo kunanamna ya kuzitoa.. Kumbuka kuendelea kuwepo kwa shahawa uko nyumanji ni kuendelea kufanya mchezo uo.
Acha uongo,
Acha habari za vijiweni,
Dakitari ni yy mwenyewe,
Afu unaujua mwili wa mwanadamu wewe,shahawa zinaendelea kubakije ndani,
Inamaana hanyi?,
Acha kujengea watu hofu badala ya kuwaponya,na km haujui sema sijui ama kaa kimya
 
Anakutisha anakuacha na wewe unaogopa kwani umezaliwa naye?! Hio sehemu imewekwa kwa ajili.ya kutoa uchafu wa tumboni, na si vinginevyo, wewe kama kweli angekua anakupenda huyo what so called mpenzi ange regreat alichofanya na angekusaidia au mngesaidiana kuacha hicho kitendo kichafu haraka sana na kwenda kuungama..
Ushauri.tena wa bure: kama hakusaidii kuacha hio laana its better muachane kabisa..achana nae,, then nenda kaungame before its too late (kuathirika.kisaikolojia na kushushwa thamani yako na utu wako na kujipa LAANA, kuharibika kiakili na kiafya ).
Ni hayo tu mdada !
 
Haiwezi kuwa bahati mbaya alifanya kusudi na ndiyo maana anakutishia kukuacha.
Na anajua kuwa wampenda sana na jua wazi rafiki zake wote ashawambia kuwa wewe ni useless anakula matako na huna ubavu wa kumuacha na kwa taarifa yako hakuthamini na wala hawezi kukuoa anakuona mjonga mjinga tu ndiyo maana ana kumiss use atakuja kuoa msichana ambaye hajaliwa jicho
Mkuu
Unajuaje km wa kwako hajaliwa tigo kabla haujakutana nae,
Anzia kufikiria hapo ndo utajua umuhimu wa kutokaumu
 
Sizani kama kufunga itasaidia ikiwa sperm bado zipo ndani na sinapoanza kualibika ule mtekenyo utakuwepo vilevile so ataendelea kuitaji dushe lingie topeni kutuliza muwasho wakw.. Muhim kama anania ya dhati kuacha uo uchafu asione haya aende akamwone daktali waingize bomba watoe huo uchafu apo atakua salama
Habari za vilabuni mnaaminisha watu
 
Tatizo limeshatokea likiri kisha tubu utasamehewa kisha acha kabisa kupitia mlango wa nyuma.
 
Ww mzoefu sana haiwezekan bahat mbaya usisikie maumiv na ukatulia narah ukaiona maan hat bint akitolewa bikra hatosikia frst day ni maumiv 2..WW NDIO MICHEZO YKO HIO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom