Kwanini wanawake wengine hawatoi miguno ya kufurahia wakati wa tendo?

Ukitaka kujua tofauti ya kupigwa kimya kimya, na kupigwa kwa makelele, Muulize mwizi!
 
Kelele za nini, ni wachache sana wakweli na wengi miguno hiyo ni kwa wale wanawake walioshndikana na wanafanya kama kuzuga ili uone nawe kidume umemkuna kisawa.., kumbe wanafake kufika Mt. Everist.
 
haha kuna mmoja nilikuwa naishi naye walahi anasikilizai dushe makelele mpaka woote tunaamka kibooo

ila mi lazma nilie na lazma na ukinidoo kimyakimya sifiki kileleni walahi
 
Back
Top Bottom