Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,709
Sorry,
Utakuta jamaa analalamika, mwanamke mwenyewe sita kwa sita bubu hana miguno.Sa ninachojiuliza, kwani haya mambo inatakiwa mpate raha nyinyi wenyewe? Siye ahaa!
Mbona nyie mnatunyima miguno, utakuta mtu kaganda hapo juu kimya mpaka mwisho anaishia kupizi kama jogoo na kupiga fofofo.Hivi ni nyie tu mliumbiwa kufurahishwa?Mbona miguno ya ladha ya mua mnatoa nini sasa?