Kwanini wanawake wengi warembo wanaishia kuwa michepuko?

Kwanini wanawake wengi warembo wanaishia kuwa michepuko?

Mhh ngoja nimuite Dida aje atupe ujanja anaotumia. Anatarajia kufunga ndoa ya tano soon.
 
Sijasoma uzi mrefu sana, ila heading inathibitisha ule msemo kuwa Mungu anapompa mwanamke uzuri kuliko akili zitakazoteseka ni sehemu zake za siri.
 
Wazuri ni shida kila.mtu anamtaka wengi huogopa kuishi maisha ya wasiwasi wa kuibiwa hata wakienda chooni home ndo mana wanaishia kuoa wa kawaida sana na kuwavesha full matenge na madera then wao kutwa kucha kufukuzia warembo michepuko
 
duh embu weka na picha tujine kama tunaangukia kwenye wanawake wazuri tujikatie tamaa kabisa mapema
Kama huyu
1453204465448.jpg
 
Back
Top Bottom