Kwanini wanawake wengi warembo wanaishia kuwa michepuko?

Wanawake wazuri wengi tu wanaolewa. Ila wakishaolewa na kuzaa uzuri wao unafifia.
Pia hawezi tena kuvaa, kujiremba kama zamani kutokana na sababu mbalimbali.
Hao warembo wanaozungumziwa ni wale wenye uzuri wa kuzaliwa au wa kununua madukani? Maana wenye uzuri wa kuzaliwa wengi tu wanaolewa. Na wanaume wengi(sio wote) wanapenda michepuko inayojirembaaa kupitiliza. Na waliojikoboa na wanaovaa kimitego mitego....kumbuka mwanamke akiolewa hawezi kuvaa kimitegomitego (na hapo ndo mnapowaona hawavutii) .Hao ndo wanaonekana wazuri kwenye macho yao. Ila wanawake wazuri wanaolewa sana tu tena kila siku.
 
Mm nadhani kinachowa-cost wanawake warembo walio wengi ni pride iliopitiliza, like aagh james akiniacha si peter atanchukua DON'T GET ME WRONG little pride a.k.a self-respect ni muhimu kwa kila mtu ila sasa ikizidi hapo ndo tatizo linapokuja.

Na wengi wanaoongoza kujibu sms fupi za neno moja 'k', 'eh' etc ni hawa so called beautiful women (ingawa sio wote). Mtu anajifanya yuko bize kuliko ubize wenyewe, as if hana mda wa kukuandikia full words..(kujiona celeb). Anaona labda akikuandikia sms ndefu atakupa shout out saaana hata kama kavutiwa na wewe. Ukiwa na interest ya kuongea nae anahis labda unamtaka kimapenzi

Speaking from experience, mm huwa i just stay away from those types of chicks.. talentbrain
 
Okoyoko umeua mazima hii midada ya type hii inakuwaga mijinga balaa na mishowe huishia kuwa mi single parent na hata hiv
 
Back
Top Bottom