KWANINI WANAWAKE WENGI HUWA WANANIGANDA.

KWANINI WANAWAKE WENGI HUWA WANANIGANDA.

mbari

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
511
Reaction score
424
Habari zenu wadau wa JF..
Me nina changamoto moja tu kuwa wanawake wengi ninaowagegeda dah uwa nakoma.. wananiganda kiasi kwamba hadi uwa saa nyingne nawaza kubadili line mana mke wang ana tabia ya ku-cross check my fone but not regularly.
Tabia hii uwa nawaaambiaga ila wananiganda kupita kiasi.
Nifenyeje jaman
 
sasa kama wanakuganda we bandua tuuh wabandue tuuh..
 
Nafurahi leo nime-comment kabla ya watu wa forex, wauza account za youtube, wauza dawa za kuongeza nguvu za kiume na wauza formula za kupunguza unene, Ahsanteni.
 
Waendelee kukuganda..ukishavurugana na mkeo akili itakukaa sawa
 
Back
Top Bottom