Kwanini wanawake wengi hawapendi kujishugulisha kwenye tendo la ndoa?

Jamani wana Jf hivi ni kwa nini kina dada wengi hawapendi kutoa ushirikiano kwenye tendo la ndoa wanakuwa wanalala tu wanakuacha mwanaume uhangaike kwa kila kitu..!!?.

Umewahi kuwauliza kwa nini wanakufanyia hivyo?

Umewasaidiaje ili wasikuache ukahangaika mwenyewe?

Umeshawah kuwaongoza au hata kuonyesha kwa vitendo nini wakufanyie?

Umeshawah hata kuwadokeza your likes na dislikes plus unapenda kufanyiwa nini kunako 6 by 6?

All in all pole sana, huna bahati. Maana hao wengi hujabahatisha hata mmoja.
 
Dah nahic ww una gundu,ila wapo wengi tu ambao wanajituma sana kwa bed.
 
Huyo unayesema alikuwa gogo na mikao hajui, ulimwelekeza akawa bado haelewi? Mi nadhani kama una mpenda mpenzi wako, ukimuelekeza kwa ustaarabu anaelewa... Kwani kuna ugumu gani wa ajabu mno mpaka ashindwe kuelewa jamani??

alikuwa haelekezeki, unamuambia kaa hivi anakaa kidogo anarudia mikao yake ya hovyo, she was very boring in bed! mwingine hajui unaweza ukadhani hana uzoefu, lakini kumbe ni mzoefu sana, ila tu wengine they are hard to learn or they are just as they are!
:focus: : Oxlade wilshare sio mademu wote wavivu , kuna mademu wengine ukiwapata shughuli yao, ohoo unaweza kimbia!
 
Last edited by a moderator:
Mimetoka kuangalia movie moja kali inaitwa love net. Ni ya 2011 kw hiyo bado mpya.

Nikakumbuka mdada alikuwa analalamika huku JF kuwa mume wake anachat na wasichana wakiwa watupu through skype.

Hii movie bana inahisu wanandoa ambao wamefikia wakienda kulala kila mtu anatazama upande wake; mke kachunguza akagundua mumewe yuko addicted na internet dating...anabadili tu wanawake anaowapata kupitia mitandao...muda wote yuko na PC. Siku moja kasahau laptop yake ndo ikawa arobaini yake.

Mke kachanganyikiwa..kaamua na yeye ajiunge na hayo mambo ya kujianika kwenye mitandao kutafuta wanaume...na target yake ilikuwa ni mumewe...movie kali sanaaaa.

Mume toka akutane na huyo new date Monica (alitumia fake name) akachanganyikiwa kabisa; akawa anatafuta njia wakutane..Monica hataki...lakini kwa ufupi ali fall vibaya sana kwa mkewe...na mpaka akatafuta jinsi (illegal) kutrace Monica ni nani na anakaa wapi?

Si ndo kujua ni mkewe...alikuwa mdogo ka pilitoni. Lakini walirudisha mapenzi zaidi ya zamani...na inaisha husband anamwambia kuwa aendelee kuwa Monica (fake identity) kwa kuwa amefall in love naye.


Hii imenifanya nione kuwa kama mlishawahi kuwa crazy in love once ...mnaweza rudisha mapenzi upya kama kweli mna nia...at least mmoja wenu inabidi a-work hard.

Unaweza tumia ukweli kuwa unamfahamu mkeo zaidi ya mwanaume mwingine yeyote kurudisha mapenzi yenu...lakini kama ulichukua time kumjua kipindi mapenzi yakiwa moto moto.Lol.

Wewe mtoto wa 'mujini'
mbona hii hujawahi niambia?
 
SI WOTE! Hilo lako dege... Mwanamke kiuno,full maujanja! Pole sana. Kaa nae umfundishe kama we wajua. Au mlete tumfundishe kazi ya kiuno!
 
me nahic ata wewe mwanaume shughuli huifanyi vema coz kama ungekua hodari mashallah mtoto mwenyewe anarespond atake asitake lol
 
Mnavyompiga madongo huyo jamaa...!! kha!! ni kweli baadhi ya wanawake...wao ni kujilaza tu...

Usipokuwa mwangalifu hata kitu namba mbili hutapata...
 
Jamani wana Jf hivi ni kwa nini kina dada wengi hawapendi kutoa ushirikiano kwenye tendo la ndoa wanakuwa wanalala tu wanakuacha mwanaume uhangaike kwa kila kitu..!!?.



Basi ukiona hivyo juwa kuna wake wa pembeni anayemshughulikia ipasavyo kitandani, hataki kushirikiana nawe kwenye tendo la ndoa kwani haku feel kihivyo, yeye anataka wewe ujifurahishe kwani anajua atapata wapi starehe kipindi wewe umetoka na kumwachia pesa za matumizi ambazo atatumia na kipenda roho wake.
 
Jamani wana Jf hivi ni kwa nini kina dada wengi hawapendi kutoa ushirikiano kwenye tendo la ndoa wanakuwa wanalala tu wanakuacha mwanaume uhangaike kwa kila kitu..!!?.

Unataka ushirikiano gani hasa? Mimi nadhani mpaka mnaanza ngono huwa tayari amekupa ushirikiano.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom