kichunafk
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 992
- 479
Sasa kama mko barabarani na kuna lori mbele, halafu anakanyagia accelarator badala ya breki nimpige busu? Hapo ni konzi tu atakula!
hahahahhahahahahahahaha, hii kali kwa kweli
Sasa kama mko barabarani na kuna lori mbele, halafu anakanyagia accelarator badala ya breki nimpige busu? Hapo ni konzi tu atakula!
ha ha ha ha ha rafiki yangu mmoja alipigwa na chupa ya maji kichwani mwanaume kasusa nenda sasa barabarani tufe .. ingia tu mtaroni ... duh bora driving school aisee