Kwanini wanawake wengi hasa walio ndani ya ndoa hawafikishwi kileleni?

Dah... Wanaume wanakuwa na michepuko mingi kwahiyo anajisahau nyumbani kwake.... Na mkewe akukutana na jamaa wa nje ndio anafika kileleni hadi anaporomokea upande wa pili
 
Nilikutana na mdada mmoja tukawa tunapiga story kuhusu elimu ya ndoa, baada ya muda fulani kwenye story akaniuliza swali hivi kufika kileleni ni nini? duh! nilichukua muda kidogo kumjibu.

Lakini nilijitaidi kumjibu kadri ya uelewa wangu, mwisho nikamuuliza; Je, ushawahi kufika? Akaniambia sijui km nishawai kwani ndo maana nimekuuliza maana yake. Basi kwa tathmini hiyo nilibaini kwamba wanawake wengi hawafikishwi kileleni hasa wa ndani ya ndoa.

Je, kufikishwa kileleni ni kwa maana gani kwa wanawake?

Naomba experience kutoka kwenu.

Mumbie ani tafute nimfikishe kileleni
 
UMEOA ama KUOLEWA? Kama bado, acha umbea. Kama ndio kamwulize mke/mume wako.
 
Kufanya hiyo kitu kwa mazoea badala ya hamu inachangia kutofika huko mahali. Mtu usiku analalia asubuh anaamka nayo kila siku hamu inatoka wapi.
 
mimi nilishawahi kutembea na wanake kama 30 hiv and above ila niliyowafikisha kileleni hawfiki hata 20 ni ukweli kabisa kuwa wanawake wengi hawafiki kileleni bali wanapiga kelele tuu kwenye bed utazani kasetiwa kumbe hamna ,,,ila anayefika utaona dalili zifuatazo
1. mwanamke anaweza kukumbatia kwa nguvu huku akiwa anagugumia mautamu na pale tuu atakapofika kileleni nguvu humuishia
2. wengine wakifika kileleni wanazimia
3. wengine wakifika kileleni anaweza kukuuma kifuwani au akauuma godoro lako na usipo kuwa makini anaweza kulimaliza
4.Akifika kileleni wengine hupiga kelele kama gari la wagonjwa paka pale anapomalizia kupanda kilele
5.Yapo mengi sana ila wanawake wanatofautiana

N.B
Wengi wanawake huwa wanadanganya kuwa wamefika kileleni ili tu kukulizisha mwanaume kuwa kweli umepiga game kumbe hamna anakuzuga tuu

Kaka hapo Chai!!
 
Mke mawazo yote kwenye majukumu ya nyumbani, ofisini bosi anamsumbua, home kurudi amechoka... Mume anawaza kuzisaka hela, nje kuna papuchi mpya anafukuzia, ndugu wengine bado wanamuangalia!!! Huo muda wa kufikishwa huko utatoka wapi

Hivi kumbe ile kitu haitoi stress?.
 
Kufika kilele kunatokana na mambo mengi sananna kikubwa inategemea na hali ya kisaikolojia ya mhusika....

Lakini kuwa wazi na huru kwenye kufanya ngono kunarahisisha sana hii kitu,mambo ambayo yanarahisisha mwanamke kufika kilele mara nyingi wengi hawayajui au hawako tayari kuyafanya kwasababu ya aibu na kutokuzoea kuyafanya...

Lakini mtu unapokuwa wazi kwenye mahusiano inakuwa rahisi zaidi kumfikisha mpenzi wako....
 
Wanaume wengi ni selfish Mke akiwa na hamu Mme hataki BT Mme akiwa na hamu ata kama Mke hayupo tayari atalazimishwa kiukweli Mke akiwa na uhitaji kufika kileleni ni rahisi sanaaaa
 
mimi nilishawahi kutembea na wanake kama 30 hiv and above ila niliyowafikisha kileleni hawfiki hata 20 ni ukweli kabisa kuwa wanawake wengi hawafiki kileleni bali wanapiga kelele tuu kwenye bed utazani kasetiwa kumbe hamna ,,,ila anayefika utaona dalili zifuatazo
1. mwanamke anaweza kukumbatia kwa nguvu huku akiwa anagugumia mautamu na pale tuu atakapofika kileleni nguvu humuishia
2. wengine wakifika kileleni wanazimia
3. wengine wakifika kileleni anaweza kukuuma kifuwani au akauuma godoro lako na usipo kuwa makini anaweza kulimaliza
4.Akifika kileleni wengine hupiga kelele kama gari la wagonjwa paka pale anapomalizia kupanda kilele
5.Yapo mengi sana ila wanawake wanatofautiana

N.B
Wengi wanawake huwa wanadanganya kuwa wamefika kileleni ili tu kukulizisha mwanaume kuwa kweli umepiga game kumbe hamna anakuzuga tuu

Mwanamke akifika kileleni yaani orgasm huwa anakojoa kabisa. Ukimshindilia mashine sawasaw ikimkolea lazima akojoe kabisa na mkojo unaruka juu kama maji ya bomba iliyotobolewa kwa msumari.
 
Pia kinachosaidia kufika kilele n namna unavyomuweka mkeo wakati unampanda. Kila shape ina style yake.likiwa bonge lina maketio makubwa basi hapo style ya popo kanyea mbingu inahusika sana au style nyingine unamlaza kwa juu kidg afu unakuwa kama umesimama unazungusha kiuno sawasawa hapo utaona ti sura inabadilika kama mlokole anafanya maombi
 
mimi nilishawahi kutembea na wanake kama 30 hiv and above ila niliyowafikisha kileleni hawfiki hata 20 ni ukweli kabisa kuwa wanawake wengi hawafiki kileleni bali wanapiga kelele tuu kwenye bed utazani kasetiwa kumbe hamna ,,,ila anayefika utaona dalili zifuatazo
1. mwanamke anaweza kukumbatia kwa nguvu huku akiwa anagugumia mautamu na pale tuu atakapofika kileleni nguvu humuishia
2. wengine wakifika kileleni wanazimia
3. wengine wakifika kileleni anaweza kukuuma kifuwani au akauuma godoro lako na usipo kuwa makini anaweza kulimaliza
4.Akifika kileleni wengine hupiga kelele kama gari la wagonjwa paka pale anapomalizia kupanda kilele
5.Yapo mengi sana ila wanawake wanatofautiana

N.B
Wengi wanawake huwa wanadanganya kuwa wamefika kileleni ili tu kukulizisha mwanaume kuwa kweli umepiga game kumbe hamna anakuzuga tuu

no 2 ha ha ha! sijawahi kuzimishwa mbona au mi mshamba wa mapenzi?
 
Back
Top Bottom