Nilikutana na mdada mmoja tukawa tunapiga story kuhusu elimu ya ndoa, baada ya muda fulani kwenye story akaniuliza swali hivi kufika kileleni ni nini? duh! nilichukua muda kidogo kumjibu.
Lakini nilijitaidi kumjibu kadri ya uelewa wangu, mwisho nikamuuliza; Je, ushawahi kufika? Akaniambia sijui km nishawai kwani ndo maana nimekuuliza maana yake. Basi kwa tathmini hiyo nilibaini kwamba wanawake wengi hawafikishwi kileleni hasa wa ndani ya ndoa.
Je, kufikishwa kileleni ni kwa maana gani kwa wanawake?
Naomba experience kutoka kwenu.
Ni kweli kabisa.
Yupo sahihi, waliobaki wanapritend tu. kuna kutosheka na kufika kileleni, ni vitu viwili tofauti.
Kama ni hivyo wanawake wengi watakuwa na kiu kali sana
Anakojoa mkojo ndo kufika kileleni? HahahsMwanamke akifika kileleni yaani orgasm huwa anakojoa kabisa. Ukimshindilia mashine sawasaw ikimkolea lazima akojoe kabisa na mkojo unaruka juu kama maji ya bomba iliyotobolewa kwa msumari.
Sasa ulivogundua hafikishwi, umefanya namna yoyote ya kumfikisha au unashoia shoia tu?
unashoia shoia ndio nini aisee!
Sasa ulivogundua hafikishwi, umefanya namna yoyote ya kumfikisha au unashoia shoia tu?
Kushangaa shangaa kilofa lofaunashoia shoia ndio nini aisee!
Jiwe hiloUMEOA ama KUOLEWA? Kama bado, acha umbea. Kama ndio kamwulize mke/mume wako.
DuuhKuna mtaalamu wa vilele humu amewahi kusema kuna vilele 13..Sasa mtu kama hata kimoja ufiki/ufikishwi hilo ni balaa