Hunyu
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,773
- 4,341
Unaweza ukawa umeandika kiutani, lakini hii ni kweli kabisa. Kuna wanawake hadi aone hela ndio akili inakaa sawa na anaweza akafika, bila hivo anakuwa yupo yupo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
wengine ni mpaka uwape pesa kwanza ndo wanafika huko kileleni
Sent using Jamii Forums mobile app