Kwanini wanawake wembamba weupe wanaongea sana?

Kwanini wanawake wembamba weupe wanaongea sana?

Anza kuwa mstaarabu kwanza uache kutukana tukuna hovyo. Tabia na lugha za mitaani ziache.

Kama uko tayari njoo pm. Sikupi namba ila nakupeleka. Mme wake ni usalama wa Taifa. So uwe makini.
Kwani usalama wa taifa sio binadamu?
 
Ulipotaja wanavaa dela tu nikahisi umekutana nao wapi au unaishi mitaa flani hivi,maana huku kwetu hawaongei sana na hawavai madela...
 
Ulipotaja wanavaa dela tu nikahisi umekutana nao wapi au unaishi mitaa flani hivi,maana huku kwetu hawaongei sana na hawavai madela...
Mitaa ya mkoa gani hiyo... Inawezekana hao walikua mabonge wamekua wembamba kwa muda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom