GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,361
- 5,628
Basi tu uko mbali kumbe bahati hii ingenikuta mmKila mtu ana kipaumbele chake sio wote wanapenda magari. Binafsi napenda nyumba zaidi kuliko gari
Basi tu uko mbali kumbe bahati hii ingenikuta mmKila mtu ana kipaumbele chake sio wote wanapenda magari. Binafsi napenda nyumba zaidi kuliko gari
mimi napenda gari aisee, nyumba tutapangishaaaaaaaaaaaaaKila mtu ana kipaumbele chake sio wote wanapenda magari. Binafsi napenda nyumba zaidi kuliko gari
[emoji6] [emoji6] [emoji6]mimi napenda gari aisee, nyumba tutapangishaaaaaaaaaaaaa
U can not be serious.mimi napenda gari aisee, nyumba tutapangishaaaaaaaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi napenda gari aisee, nyumba tutapangishaaaaaaaaaaaaa
Kwasababu wanapenda kuruzu kona za mji huku wamekalia makalio yao.
Ila wakuu hamna raha kama ukiwa na gari asee. Kila mahali unaenda.
Mi jana tu nimehamia, njoo basi unipongeze na Mimi..Ukimaliza kujenga, nishtue nikupongeze [emoji12]
Kwa sababu ya emergency zitakazotokea mkiwa kwenye gari.
Kwenye mambo ya maana lazima ujisifie sio mbaya,.au unadhani najipigia promo ya kupata bwana humu[emoji23] [emoji23] lolhahaha kama unajipa promo hivii
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwenye mambo ya maana lazima ujisifie sio mbaya,.au unadhani najipigia promo ya kupata bwana humu[emoji23] [emoji23] lol
Hahahaha hio wazee wa uchumi tunaita enjoying the economies of scaleman ukiwa na miguu minne Tu hawaruki..hata ingekua carina.hahaha
kujenga sahivi sio ishu ndogo mama.Best mjengoo yaani niwe nali mansion langu ameiizingg hapo sasa ndio ntapata nguvu ya kumiliki ndiga tena sio vitoto vya garii noo ndiga inayoendana na mjengo na mm mwenyewe,..
Unachokisema ni sahihi kabisa Mkuu!kujenga sahivi sio ishu ndogo mama.
Kujenga mjiji si chini ya 200M.
Kujenga nje ya mjini si chini ya 50M huko kibaha.
Sasa kwa life hili ujichange 50M si kitu kidogo wkt kuna Gari za 7M?
Zaman thaman ya nyumba ilikuwa sawa na Gari lkn sio sasa.
Afu mnapaswa kutambua kwamba kwa dunia ya sasa Gari sio luxury, ni moja ya hitaji la msingi.
Tuacheni ushamba wa kuwaona watu wajinga hawajajenga lkn wana Gari.
Wewe kama umepanga baba mwenye nyumba ana asilimia kubwa ya kukupataKila mtu ana kipaumbele chake sio wote wanapenda magari. Binafsi napenda nyumba zaidi kuliko gari
Thad anapenda nyumba asee [emoji23]Wanaamini gari ndio maisha