RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,211
- 138,503
Si nasikia hamtaki wachovu maanake tukishajenga nitakutimua nitafute dogodogo. Ngoja nijenge ili hata nikikutimua usipate uchungu.Nitafute sasa hivi tujenge wote [emoji12]
Si nasikia hamtaki wachovu maanake tukishajenga nitakutimua nitafute dogodogo. Ngoja nijenge ili hata nikikutimua usipate uchungu.Nitafute sasa hivi tujenge wote [emoji12]
Hahahahhaaa... mi wala sina shida awe nalo asiwe nalo kama mapenzi yashajaa yanatosha bwana.Ona anavopenda kuzinnguliwa kwenye kigari
Ngoja nikafuate kakalikuu kangu kamdunge huyu
Teh
akili zenu mmezitune kuamini hvyoakili yako nadhan umeitune kuamini hvyo
Labda uwe huna pesa. Kama una pesa huwezi kusumbuka kutokuwa na gari. Tena siku hizi kuna Uber wala kuwa na gari sio issue.Hili suala linatesa Sana haswa kwa wenzangu wanaopenda mitoko ya Usiku,kama huna gari...Manzi Wako anaondoka na Mwenye gari..tatizo nini wanawake??je gari ndio linaonesha status ya mtu??kitaani kwetu ukiwa na kitoyota..warembo wote Wako..hata kama Una gari but pesa huna..wanajileta..hahaha Girls Girls Girls...am
still whipin in Bajajis and Daladala.tho am serving for the ndinga..hah
Kwa sababu hawawapendi wenye baoskeliHili suala linatesa Sana haswa kwa wenzangu wanaopenda mitoko ya Usiku,kama huna gari...Manzi Wako anaondoka na Mwenye gari..tatizo nini wanawake??je gari ndio linaonesha status ya mtu??kitaani kwetu ukiwa na kitoyota..warembo wote Wako..hata kama Una gari but pesa huna..wanajileta..hahaha Girls Girls Girls...am
still whipin in Bajajis and Daladala.tho am serving for the ndinga..hah
Kumbe una mpango wa kunionjesha nyumba yako kisha unitimue? Basi ngoja nitafute baba mwenye nyumba mwingine ambaye hatanirudisha kwenye machungu ya nyumba za kupanga.Si nasikia hamtaki wachovu maanake tukishajenga nitakutimua nitafute dogodogo. Ngoja nijenge ili hata nikikutimua usipate uchungu.
It Girl was originally slang for a beautiful, stylish young woman who possessed sex appeal without flaunting her sexualityLt ama It? Maana yake nini kwanza nitaafsirie
Yeap [emoji122] [emoji122] [emoji122]Kila mtu ana kipaumbele chake sio wote wanapenda magari. Binafsi napenda nyumba zaidi kuliko gari
Best wewe kipaumbele chako ni nini? Gari au nyumba?Yeap [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hapana, mimi nazungumzia tukijenga wote. Si huwa mnasema ukianza chini na mwanaume akifanikiwa anakutimua anachukua dogodogo? Wewe huogopi hilo?Kumbe una mpango wa kunionjesha nyumba yako kisha unitimue? Basi ngoja nitafute baba mwenye nyumba mwingine ambaye hatanirudisha kwenye machungu ya nyumba za kupanga.
utachelewa,and atajuaje if you made it kama huna hata mark xLabda uwe huna pesa. Kama una pesa huwezi kusumbuka kutokuwa na gari. Tena siku hizi kuna Uber wala kuwa na gari sio issue.
Dude please...u made it coz u drive 10yr old Mark X?!!!utachelewa,and atajuaje if you made it kama huna hata mark x
Kama ni kweli basi unastahili kuitwa mama wa familiaHao ni wasichana bwana,ambao hawajajua hata wanataka nini...kwa mwanamke tena kama mm mtaftaji Le Super Lady mwenyewe huwezi nitega kwa gari hata siku moja...gari ni ziada.
Best mjengoo yaani niwe nali mansion langu ameiizingg hapo sasa ndio ntapata nguvu ya kumiliki ndiga tena sio vitoto vya garii noo ndiga inayoendana na mjengo na mm mwenyewe,..Best wewe kipaumbele chako ni nini? Gari au nyumba?
Binafsi natamani mwanaume wa kuanza naye chini (from zero to hero)Hapana, mimi nazungumzia tukijenga wote. Si huwa mnasema ukianza chini na mwanaume akifanikiwa anakutimua anachukua dogodogo? Wewe huogopi hilo?
Basi mimi nakufaa...njoo tutengeneza familia.Binafsi natamani mwanaume wa kuanza naye chini (from zero to hero)
Maana ataniheshimu na kuthamini mchango wangu kwake. Sio nimkute ana kila kitu, atadhani nilifata mali zake bure