Wanawake be independent, maumivu ni kwa wenye cheap girls dreams

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
66,697
172,654
Wanawake huwa mnaumia kwa upumbavu wenu wenyewe, you need true love but you engage in dating with fake people kisa tu ni handsome au ana pesa na gari while thats every cheap girl's dream. Wanaume wakweli mnawakataa, mnataka wale wanaowahadaa na pesa na magari. Mi huwa naamini real men with true love wapo wengi ila you are too blinded to see.

Link na mwanaume anaeanza kujijenga umsome vyema as long as ana adabu na anakuthamini mpende taratibu huku unasoma mapungufu yake, ila hakikisha upendo wake una exceed mapungufu plus be independent itakupunguzia sana headache as well as pressures kwenye mahusiano yenu. Create your own base kwa mwanaume wako, trust me you will be always his number 1. Hakuna mwanamke anakuwaga akilini kwa kidume kama yule ambaye huonesha upendo, msaada na kututhamini pindi mkiwa pamoja kwenye process ya kujijenga.

Hakuna wanawake wanaoinjoy mapenzi kama wale walio independent. Kuwa kwenye mahusiano kwa sababu umempenda mtu na sio kwa sababu ya status yake au pesa zake ili ujihakikishie mitoko na shopping, thats every cheap girls dream. Make yourself expensive kwa kujimudu katika mambo hayo, just be engaged kwenye mapenzi for genuine kind of love sio kwa njaa au tamaa na show offs. Also be creative and focused na maisha, utaona jinsi wanaume wanavyoparangana kupropose kwako na kutaka kuku keep for lifetime. Acheni uswahili jamani kuweni kama madem wa kizungu!

Sasa we hapo danga na ku cheat kisirisiri kisa jamaa hana hela ya kukutoa out halafu siku akizipata na kukumwaga uje ulalamike kipuuzi hapa maana wengi ndio tabia yenu hio. Ukimfanyia hivyo mwanaume hatosema kitu atavunga ila zikikaa vizuri hamna rangi utaacha kuiona.
 
hakuna mwanamke anataka shida labda itokee tu.mtu anakuvumilia n.a. shida zako mpka Kalahari ukipata kidogo tu,kichwa hicho simu hupokei,hupigi,hujibu message kisa mafanikio kidogo tu..ha ha ha wanaume bhana mna ufala fulani hivi.independent woman nakuangalia nasema hiiiiii napita vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wanaume hata hawapendeki
Unaweza mpenda akiwa Hana chochote na akakufanyia shit nyingi tu,unajitahidi binti wa watu lakini wapi

Sasa unajiuliza,Kama Leo anafanya haya ,,akipata pesa na majumba itakuwaje!??.

Kumkuta mtu amejikamilisha ama hajajikamilisha si kigezo cha kudate na mtu,,what matters Ni upendo wa dhati

Kuna wanaume Wana kila kitu kabisa na Wana upendo wa dhati,Kuna ambao hawana chochote pia wanaupendo wa dhati,Kuna wengine Wana kila kitu ila Ni wadanganyifu pia Kuna wale hawana chochote Ni wadanganyifu pia

Kwa hiyo nadhani Jambo Muhimu la kuangalia Ni true love regardless ya uwezo wake ama umasikini wake though Kuna faida na hasara ktk kila upande

Nb:Kuna mwanamke anakuja kwako si kwa sababu ya Mali ulizo nazo,anakuja kwa sababu Ana Nia ya dhati kabisa na wewe

Hapo ndipo unapotakiwa kupima mzani wa udhaifu vs upendo. Ukiona kama anakuzingua sana japo unampenda jua huyo si mtu makini. Jiengue!
 
bora ku enjoy na huyo mwenye gari na pesa,nyie mnaojenga mkimaliza tu nyumba,mnaanza kujiona matawi n mna status nyingine hivyo mnahitaji mpenzi mwingine… lol
Mtoa mada anaongelea about future. Dada zetu mna katabia cha kuchagua wanaume ambao mnaona kabisa hapa hamna future yoyote zaid ya starehe.
Wale wenye future(mr.nice guys mnavyowaita) mna waona wapumbav.
Hata kama na mwanaume ambae ndio anajijenga jitahid usimfanyie vituko. Wanaume tunatabia ya kukumbuka vile vitendo..
Mwanaume kama huyu ukimfanyia vituko wakati hana pesa.. akija kuzipata usilalamike. Kila tatizo lina chanzo chake so play safe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina uhakika asilimia 90+ ya wanawake watapinga huu ushauri wako. Watauona old skul.

Dunia ya sasa iko shaped tofauti na mtazamo wako hata kama ndio mambo sahihi.

Sanasana watakuona ni orthodox conservative (convetionalist).
 
Yeah nimeona tayari kuna baadhi wame protest vikali! Ila mie huwa naongea kweli hata kama chungu.
 
Mtoa mada anaongelea about future. Dada zetu mna katabia cha kuchagua wanaume ambao mnaona kabisa hapa hamna future yoyote zaid ya starehe.
Wale wenye future(mr.nice guys mnavyowaita) mna waona wapumbav.
Hata kama na mwanaume ambae ndio anajijenga jitahid usimfanyie vituko. Wanaume tunatabia ya kukumbuka vile vitendo..
Mwanaume kama huyu ukimfanyia vituko wakati hana pesa.. akija kuzipata usilalamike. Kila tatizo lina chanzo chake so play safe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah we umenipata uzuri kabisa mzee baba, watoto wanapenda slope af wakilizwa wanakuja na nyuzi za kupondea wanaume wote.
 
Sasa mkuu hivi ww unajielewa?, mdada asipokupendea u-handsome, unataka akupendee nn? Ww hupendei wadada chura, sura, na matiti? Hebu tuondolee ulevi hapa
Sawa mdada wa mjini, ila nyuzi za vilio hatutaki kuziona humu. Huwezi taka utamu wa ndizi wakati umenunua limao.
 
Huwa sielewi hii notion kwamba sisi wanaume wenye ukwasi hatuna mapenzi ya kweli ilitokea wapi?

Kwamba mapenzi ya kweli yapo kwa maskini tu, sisi ambao tushatusua maishani hatuwezi kupenda.

Dada zangu, bora ulie machozi ndani ya gari kuliko kwenye baiskeli. Tafuta mtu mwenye mpunga na mapenzi.
 
hakuna mwanamke anataka shida labda itokee tu.mtu anakuvumilia n.a. shida zako mpka Kalahari ukipata kidogo tu,kichwa hicho simu hupokei,hupigi,hujibu message kisa mafanikio kidogo tu..ha ha ha wanaume bhana mna ufala fulani hivi.independent woman nakuangalia nasema hiiiiii napita vile

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sio wote wana hayo matatizo mamaa. Wapo ambao wapo decent with a lot of respect. Ukipata mwanaume ambaye hajaumizwa sana huwa wapo poa. Walioumizwa sana wanaonaga wanawake wote matapeli tu same as you do.
 
Huwa sielewi hii notion kwamba sisi wanaume wenye mali hatuna mapenzi ya kweli ilitokea wapi?

Kwamba mapenzi ya kweli yapo kwa maskini tu, sisi ambao tushatusua maishani hatuwezi kupenda.

Dada zangu, bora ulie machozi ndani ya gari kuliko kwenye baiskeli. Tafuta mtu mwenye mpunga na mapenzi.
Ishu iliopo ni kuwa mwanaume mwenye mpunga kidogo means anajimudu ila still anapambana kufika juu ni tofauti kimtazamo na mwanaume mwenye mke na watoto nyumbani ambaye ashakuwa stable sana kiuchumi..hivyo wanawake walioko desperate na maisha ya kifahari wana fall prey kwa kudanganywa wakiujua ukweli wanakuja kuanzisha nyuzi humu.
 
BEING INDEPENDENT INAJENGWA, INAKUZWA, INATENGENEZWA!
haianzi ukubwani!
haianzi ukiwa unadate !
haianzi ukiwa unapokea mshahara!
KUWA INDEPENDENT NI ZAIDI YA KUWA NA HELA ZAIDI, AU SAWA NA MWANAUME!
binti aliyelelewa akiambiwa yeye ni KAMILI with or without money,with or without being glamour WILL ALWAYS SEE BEYOND PESA NA MAGARI!
if I date a broke and mbele akipata akaniacha , ITAKUWA NI PART TU YA MAHUSIANO! WONT BLAME IT ON HIS CARSA NOW!
if I date a loaded guy AKINITREAT KIWEHU, ITAKUWA TU NDIO PERSONALITY YAKE!

as for me!
BEING A HUMAN BEING GOES BEYOND MAGARI, PESA NA VYETI VYA ELIMU!
not that nitataka kukaa na broke akae tu kiwehu wehu nimtizame tu
not even nitakaa tu na loaded treating me bad kisengesenge kisa nini kanipa funguo, psyuuuuuuu!

a BIT COMPLICATED but NDO HIVO HIVO!
inakufaa beba , haifai iache hapa!
sio hata kesi!
 
41 Reactions
Reply
Back
Top Bottom