Sio mimi mkuu,nimeona sana kwa watuHongera kwa kuwa na sura ya dada mkuu.
Subiri watakuja huko PM
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Sorry naomba uambatanishe na picha tafadhaliHabarini za mda,
Nilitaka kufahamu hivi ni kwa nini mtoto wa kiume/mwanaume akiwa handsome,A.K.A sura ya dada..
wanawake wengi wanawaogopa?
Na hata kama wakitaka kujenga relation na mademu linakuwa tatzo?
Utakuta baadh ya wanawake wanajikita sana kwenye suala la mazoea na sio mahusiano(relation)???
Tukijikita mbali,Jamii pia inawaangalia kwa jicho la tatu.why?????
Karibuni wanazengwe kwa maoni...
Sent using Jamii Forums mobile app
hahhaa,yaan kama kuna mda wanachukuliwa kama mashoga hivikwa hiyo unawaangalia kwa jicho la tatu ? daaaah unaangaliaje kwa hilo jicho au biashara
Sasa si ndo hapo?Sasa mwenye sura ya dada mtu akiwa nae si ataona yuko na dada yake
MwanaumeNina maswali machache kabla sijakujibu.....Jinsia yako kwanza tafadhali.....He were ni handsome ama la?