Bahati lucky
Member
- Jan 22, 2017
- 16
- 13
Mmmm umeshinda tabia aiseeUsiogope wata RIGHT tu siku zijazo
Utapewa nishaniMmmm umeshinda tabia aisee
naomba link nijoinKwa kuwa niko single nimejikuta napenda sana kupika chakula kitamu, nikawa nimepata link moja ya group la mapishi whatsApp nikajiunga.
Majaabu niliyoona ni kuwa pamoja na kuwa kundi liko hot kwa kuleta mapishi mbalimbali lakini akina dada wetu wana LEFT kila siku.
Nimeshindwa kupata MAJIBU.
NAOMBA KUPATA MAWAZO KATIKA HILI.
Umepata hiyo link uweke hapa na mm nijiungenaomba link nijoin
Sijapata ma, natamani sana yani kuna group moja la rubii kazi kuchat hawapiki hawafundishani mxyuuu (msonyo wa hamorapa)Umepata hiyo link uweke hapa na mm nijiunge