Kwanini wanawake wa aina hii hawaolewi?

Unaposema " kama sio mke wa professor" una maana gani hapo? Kwa haraharaka ylimuiba kuwa vulnerable. Is she happy? Labda kujiuluza wanaooa wa firm 4 maprofessor are they really happy? Mjadala huu ni mpana n ni vema kuja na data as nawafahamu Lecturers wengi wameolewa na wenzao. Maengeneer wameokewa nk. Usigenerilize. Kama unataja oa wa form 4 hukatazwu lakini walio oa nao wana changamoto zake ambazo sitazitaja hapa. Wengine hushindwa hata kwenda nao sehemu hata kuwatambuliaha sasa hiyo ni ndoa kweli? Kutokuwa proud na mkeo si tatizo nalo kweli? Wengine huwa-treat kama maids tofauti tu wanapata watoto pamoja. Na hizo defination ya wife material inaweza kuwa questionable. Wazazi wangu walioana wasomi na ilikuwa perfect marriage sijawahi na sidhani kama nitakuja kushuhudia.
 
Yaani Mwanajeshi ni kaz sana kuwa nae mm mwenye nilkuwa nae akanizingua kabla hata ya kumtia ndani
Mkuu alikufanyia nini? Tupeane uzoefu ili kama ni kutua basi tufanye maamuzi magumu kabla hatujaingia mikataba itakayokuja kutufunga baadae!
 
Mkuu alikufanyia nini? Tupeane uzoefu ili kama ni kutua basi tufanye maamuzi magumu kabla hatujaingia mikataba itakayokuja kutufunga baadae!

Ha ha a alifumaniwa akapigwa kerubu na vitasa vya kufa mtu
hatasahau mpaka anakua marehemu
 
Shida ya wanawake wasomi wanasahau apa ni afrika wanaweka akilini ile kauli ya haki sawa adi chumbani akiwa na mumewe ana amini haki sawa,nyie wasomi haki sawa kwenye tv na majukwaani ndani ni heshima ya bab na mama huwezi subiri mario wakuzalishe ulee mwenyewe watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…