Kwanini Wanawake tunawaona ni tishio?

Kwanini Wanawake tunawaona ni tishio?

Na unakuta mtu anaongea kwa ujasiri kabisa kwamba, "Tafuta hela wanawake watakuja wenyewe".

Stupid kabisa, Unatafutaje pesa kwaajili ya wanawake?
Unasahau kabisa hata uwe na pesa vipi kuna mtu atakuzidi tu na anauwezo wa kumchukua huyo mwanamke mpenda pesa kama akitaka.

Ondoa wanawake kwenye equation yako ya mafanikio.
 
Salamu kwenu wakuu........Binafsi siyo mwandishi sana ila nitajitahidi kadiri niwezavyo kufikisha ujumbe.

Nimekaa nikawaza hivi kwanini wanaume tunatumia nguvu nyingi sana
1.Tupewe attention na wanawake

2.Kwanini mkazo unaelekezwa kuishi na wanawake kwa akili?

3.Kwanini hata hapa jukwaani hawa viumbe wanaonekana ni tishio kiasi hiki

4.Hii inakatisha tamaa kwa wale ambao hawajaingia kwenye mahusiano

5.Na pia inawajengea wanawake inferiority complex kwamba wao ni wa hivyo hivyo

6.Binafsi natamani sana kuishi kwa usawa bila kuwindana

7.Tusiumize vichwa sana kuhusu hawa viumbe tuwachukulie simple tu

Karibuni
Sio tishio kama unavyosema ila their decision making system is not based on logic rather than unstable feelings

Dunia ilivyo inategemea logic pale juu sio hisia za mtu ambae leo yuko hivi kesho yuko vile
 
Salamu kwenu wakuu........Binafsi siyo mwandishi sana ila nitajitahidi kadiri niwezavyo kufikisha ujumbe.

Nimekaa nikawaza hivi kwanini wanaume tunatumia nguvu nyingi sana
1.Tupewe attention na wanawake

2.Kwanini mkazo unaelekezwa kuishi na wanawake kwa akili?

3.Kwanini hata hapa jukwaani hawa viumbe wanaonekana ni tishio kiasi hiki

4.Hii inakatisha tamaa kwa wale ambao hawajaingia kwenye mahusiano

5.Na pia inawajengea wanawake inferiority complex kwamba wao ni wa hivyo hivyo

6.Binafsi natamani sana kuishi kwa usawa bila kuwindana

7.Tusiumize vichwa sana kuhusu hawa viumbe tuwachukulie simple tu

Karibuni
Baba mtakatifu91 achana na mapenz
 
Kuna mda mke kazingua upo kwenye tempa ya hali ya juu vibaya mno
halafu anakusogolea usoni anapayuka kwa sauti kali ya juu
'kama wee ni mwanaume nipigeee.nipigeee sasa mbwa wee'

Hapo usipotumia akili..
 
Back
Top Bottom