Kwanini wanawake tunaojimudu tunaogopeka?

illuh

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
1,254
Reaction score
700
Me ninadukuduku, Sielewi kwanini vijana wengi wa sasa wakikuona mwanamke ukishakuwa unaweza kujimudu wanakuwa wanakuogopa......
Mfano: Wakikuona una gari ye hana gari

Akikuona umepanga au una nyumba ye hana nyumba ....Basi inakuwa taabu tupu ikitokea umempenda..huwa wanahisi kama hujampenda kweli , Mwanaume akiwa na wewe atakuwa na wewe si kidhati,anakuwa na wewe huku yupo na mwingine, ye mawazo yake yanakuwa kukutumia tuu..........
Sielewi kwanini wanakuwa na fikra potofu hivi?

Mwanamke unapokuwa unajitahidi kutafuta maisha unatafuta pia ukijua utakuja kuwa na mwenzio...So mwanaume ukipendwa jiamini...ila tu jitahidi na wewe kimaisha sio uwe wa kula kulala...
 
Wacheni kasheshe, hatumuogopi kamwe. Ni nyinyi wenyewe ambao mnajiskia eti munaogopeka ila hamuogopeki. In todays world, when you turn down a lady who feels she's successful, she assumes you're intimidated of her. Sometimes you turn down a lady due to her character but she goes around claiming that you're intimidated of her.
 
Me ninadukuduku, Sielewi kwanini vijana wengi wa sasa wakikuona mwanamke ukishakuwa unaweza kujimudu wanakuwa wanakuogopa......
Mfano: Wakikuona una gari ye hana gari
Akikuona umepanga au una nyumba ye hana nyumba ....Basi inakuwa taabu tupu ikitokea umempenda..huwa wanahisi kama hujampenda kweli , Mwanaume akiwa na wewe atakuwa na wewe si kidhati,anakuwa na wewe huku yupo na mwingine, ye mawazo yake yanakuwa kukutumia tuu..........
Sielewi kwanini wanakuwa na fikra potofu hivi?

Mwanamke unapokuwa unajitahidi kutafuta maisha unatafuta pia ukijua utakuja kuwa na mwenzio...So mwanaume ukipwndwa jiamini...ila tu jitahidi na wewe kimaisha sio uwe wa kula kulala...

huwa wanaogopa kauli kama hiyo hapo kwenye blue na zingine zinazofanana na hizo.
 
mbona mm wife kanizidi kila kitu lakini huwa anapiga magoti kuomba msamaha anaponizingua.....kuna wanaume wengine tuliumbwa vibaya haijalishi una nini au ukoje ,status ya mume na mke iko palepale huwa sileagi ujinga kabisa na kuna kituinatwa Attraction...ATTRACTION HAS NO CHOICE
 
Attachments

  • 1397129149425.jpg
    1397129149425.jpg
    59.9 KB · Views: 1,057
mbona mm wife kanizidi kila kitu lakini huwa anapiga magoti kuomba msamaha anaponizingua.....kuna wanaume wengine tuliumbwa vibaya haijalishi una nini au ukoje ,status ya mume na mke iko palepale huwa sileagi ujinga kabisa

a name for the bolded red plse.....bill
cc: lara 1
 
Me ninadukuduku, Sielewi kwanini vijana wengi wa sasa wakikuona mwanamke ukishakuwa unaweza kujimudu wanakuwa wanakuogopa......
Mfano: Wakikuona una gari ye hana gari
Akikuona umepanga au una nyumba ye hana nyumba ....Basi inakuwa taabu tupu ikitokea umempenda..huwa wanahisi kama hujampenda kweli , Mwanaume akiwa na wewe atakuwa na wewe si kidhati,anakuwa na wewe huku yupo na mwingine, ye mawazo yake yanakuwa kukutumia tuu..........
Sielewi kwanini wanakuwa na fikra potofu hivi?

Mwanamke unapokuwa unajitahidi kutafuta maisha unatafuta pia ukijua utakuja kuwa na mwenzio...So mwanaume ukipwndwa jiamini...ila tu jitahidi na wewe kimaisha sio uwe wa kula kulala...
Ntajitahidi,haya sasa nipm sasa tukamilishe process.
 
Achana nae njoo pande hii lol....
 
illuh mpenzi anayekuogopa hakufai, ukimchunguza sana atakua na tabia za kibabe, kupenda kuabudiwa, jeuri na dharau kwa wanawake......
Mwanaume anayejielewa na kujitambua ataendelea kuheshimika na mke wake katika hali yoyote (awe na elimu au asiwe nayo, awe na mali au asiwe nazo ataheshimika tuu) na wala mwanamke hatoona kwamba amemzidi kwa chochote
 
Wengi wenu hamjitambui ndiyo maana hampapatikiwi.Wengine wakipata mafanikio wanajiona wamemaliza kila kitu tena hawachelewi kujigamba kazi ndiyo mumewe sasa nashangaa sijui kazi inawapa hata orgasm.Ila kwa wanaojitambua ni wake wema sana na huwa wanaolewa na ndoa zao zinasimama imara.

Wanaojiona kwamba wao ni so special huishia kuoa na sio kuolewa na matokeo yake wanapata wanaume wanaohitaji kulelewa wasio na mapenzi ya dhati mwisho wa siku inakula kwao.
 
Back
Top Bottom