Kwanini wanawake sio Majasiri barabarani?

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Feb 18, 2016
1,262
1,220
Naomba msaada wa kitaalamu, sababu za akina mama kukosa ujasiri wawapo barabarani. Wanasababisha sana foleni, ni waoga kuendesha kwa kasi, zinapovutwa njia mbili kuokoa foleni, wao wanaendesha kawaida tu, KULIKONI?
 
Back
Top Bottom