heavyload
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 900
- 497
Leo nimeshuhudia kwa mara ya tatu vilio vya wanawake mbele ya raisi wakiwa na malalamiko kadhaa wa kadha
Je kuna nini nyuma ya pazia katika vyombo vyetu vya kutoa haki?
Kwanini sioni wanaume wakilia na na kulalamika mbele ya raisi. Au wao hawana yanayowasibu?
Je kila mtu mwenye matatizo ya kisheria au aliyeikosa haki yake akiamua kufanya wafanyavyo hawa watanzania wenzetu mahakama zitakuwa na kazi gani?
Je hali hii haina athari kiusalama kwa raisi na taasisi yake anapokuwa ziarani?
Ni mawazo tu!