Kwanini wanawake pekee ndio humlilia Rais Magufuli?

heavyload

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
888
500
Leo nimeshuhudia kwa mara ya tatu vilio vya wanawake mbele ya raisi wakiwa na malalamiko kadhaa wa kadha

Je kuna nini nyuma ya pazia katika vyombo vyetu vya kutoa haki?

Kwanini sioni wanaume wakilia na na kulalamika mbele ya raisi. Au wao hawana yanayowasibu?

Je kila mtu mwenye matatizo ya kisheria au aliyeikosa haki yake akiamua kufanya wafanyavyo hawa watanzania wenzetu mahakama zitakuwa na kazi gani?

Je hali hii haina athari kiusalama kwa raisi na taasisi yake anapokuwa ziarani?

Ni mawazo tu!
 

sab

JF-Expert Member
Jan 25, 2013
5,724
2,000
Kwanza mwanamke anatumia kulia kama silaha ya kupewa huruma fulani, japo wapo pia wanao tumia kulia kwa kulaghai watu,

Jambo jingine nikwamba wanawake wapo kwenye special goup ndio maana wanalia lia tu, yaani hata kama wanamakosa wao basi watalia kama silaha yao,
 

mbarika

JF-Expert Member
Apr 1, 2015
2,552
2,000
Uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii
 

naninibaraka

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
912
1,000
Nimekua mfuatiliaji mkubwa juu ya shughuli na utendaji wa jumla wa kaz za serikali na idara ya usalama wa taifa,idara ya Tiss iache kufanya za siasa ifanye kazi kwa mujibu sheria iliyo ifanya iwepo, kwa siku za karibuni tumeona watu haswa wakina mama wakiibuka kwa stahili zisizo eleweka kwenye mikutano ya rais huku wakijifanya wana onewa na kuwa rais wetu ni mpenda haki, haya matukio wengi yulishasema ni ya kupangwa, matukio kama haya hayamfanyi rais kupendwa zaid ya kuonekan serikali ina deal na vitu ambavyo havileti maendeleo kwa watz kwa ujumla wake! Tiss hiki ni chombo kinachotakiwa kuwa mfano kwa haki za raia, kuna haja ya kupitia upya utendaji wa chombo hiki ili kiendane na mazingira ya sasa..,
 

Jspmsl

JF-Expert Member
Aug 7, 2017
437
500
Huyu naona ajaribu uandishi wake,kama atapokelewa vyema,mjinga sana,Tiss anafikiri ni chama cha siasa
Kwa fikra zako anaongopa?
Kwa hiyo serikali ya chini haifanyi kazi yake? Rais ataweza kusikiliza wenye matatizo wote acha upuuzi wako. Yule wa Tanga yuko wapi kwa hiyo walikuwa hawamjui mazwwazwa bana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom