Kwanini wanawake pekee ndio humlilia Rais Magufuli?

Watanzania wenzangu tuwe na mipaka,mbali ya Uhuru tulio nao.Tuheshimu na kuwa na staha na vyombo nyeti kama TISS.Bora tuhangaike na wanasiasa wanaopita.Hawa wanatoa muda ,utu na maisha yao kwa maslahi mapana ya Taifa.
 
Story za kwenye kahawa zimekulewesha au??? Tuanzie hapo kwanza alafu upunguze kukaa vijiwe vya kahawa utameza mpaka makapi ya stories kuusu hichi chombo
 
Watanzania wenzangu tuwe na mipaka,mbali ya Uhuru tulio nao.Tuheshimu na kuwa na staha na vyombo nyeti kama TISS.Bora tuhangaike na wanasiasa wanaopita.Hawa wanatoa muda ,utu na maisha yao kwa maslahi mapana ya Taifa.
Well said Mkuu tatizo kila MTU mjuaji mpaka wanaojua wanakaa kimya kuwaskiliza hao wanaojifanya wajuaji
 
Na siki hizi kila mtu anaijua TISS, kila mtu mfuatiliaji wa TISS ahahaha Tuwaachie wafanye kazi yao kujua jua vijivitu vidogo kuhusu wao tusijifanye ndio tunaijua nje ndani
 
Watanzania wenzangu tuwe na mipaka,mbali ya Uhuru tulio nao.Tuheshimu na kuwa na staha na vyombo nyeti kama TISS.Bora tuhangaike na wanasiasa wanaopita.Hawa wanatoa muda ,utu na maisha yao kwa maslahi mapana ya Taifa.

Mmmhh, hiyo kazi wangekuwa wanafanya bure haya maneno yako yangekuwa na mashiko. Wao wanachukua mamilioni wataacha kufanya hivyo? Acheni post za kujikomba jamani.
 
Waache hiyo kazi wakale wapi? Mbona unasema kama vile ni watu wanaojitolea kumbe ni kazi ya mshahara kama zilivyo nyingine. Hii tabia ya kufanya vyombo vya ulinzi kama watu wanaojitolea mnaipata wapi? Au mnawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa ili watii amri za kuhujumu watanzania wengine?

Nyie watu mnajifanya mnajua kufuatilia utendaji wa TISS mna shida sana
Ungejua muundo,kazi na malengo ya Tiss usingefungua thread maharage hapa.
Tiss bado ni chombo makini na madhubuti kabisa na ndio maana unalala na mkeo,unashiba mpaka unapata uwezo wa kuja kuishambulia hapa.
Hawa watu wakiamua kuacha kufanya kazi zao siku moja tu,hapatakalika
 
Hivi TISS mnaichukuliaje? Kwamba ni kitu cha ajabu sana , Perfect sana ? Hiyo ni taasisi Moja wapo tu ya serikali nayo inapokea maelekezo toka Kwa serikali Yaani rais and co.
 
MICHEZO YA KUIGIZA INAHITAJI WAIGIZAJI WENYE UWEZO WA KUUVAA UHALISIA WA MAMBO JAPO FEKI !!
 
Back
Top Bottom