Kwanini wanawake ni wepesi wa kusamehe kuliko wanaume?

Mwanaume by nature ni Mtawala.
Mwanaume akisalitiwa hujiona kuwa uanaume "Utawala" wake umepoteza thamani na kwamba mwenye nguvu zaidi yake ametwaa mamlaka yake..

Ilhali mwanamke kama mtawaliwa by nature, akisalitiwa hujiona kuwa amepata mtawaliwa mwenzake na anawaza kupambana ili Mtawala asihamie kwa mtawaliwa Mpya..

Binafsi siku nikijua kiwa Mke wangu ameliwa nje hata Waniwekee Panga shingoni hamna namna nitakubali kumsamehe eti turudiane.
 
Kiukweli wanawake ni wanaroho nyepesi sana anaweza kukufumania na rafiki au hata dada yake mkifanya mapenzi still atakusamehe na maisha yataendelea. Kwa upande wa sisi wanaume ni hatuwezi kusamehe mwanamke aliyefumaniwa wachache sana wanaweza but percent kubwa hatuwezi.

Wanawake mnaroho gani?
Mwanaume ukifanya kosa ukamsamehe mchuchu eti yamepita tugange yajayo ke' 'hatakuamini!!!

Lazima iko siku atakuua tu! au kama wewe ni mtu wa machale sana atakukimbia!! lakini umimpiga matek mangumi sonya sana! mkate sikio moja! au kilema chochote wallah! huyo mke atakuwa wa kufa na kuzikana! hta kama ukimbamba wana mfanyia ile kitu hakuachi ng'ooo!!
 
Kwa hapa BONGO , Wanasamehee 'Endapo' anakutegemea , ila ukute mwanamke anakipato chake vzuri, anajiamin, mamaeee Utabweka kama mbwaaa na bado atasepa.

Lkn pia anaweza akawa anakipato ila akahofia Utamu unaoumpa ataupata wapi? Nakwasababu wanaishi kwa hisia ,ataanza kujiaminisha kua Mwanaamke ndo kajirahisisha kwako.


Lkn pia Bila kujalisha uchumi , anaweza kukusamehe sababu nayeye Anatombwa nje ila hujui .


Lkn pia anaweza samehe lkn asisahau nahii ikamfanya nayeye kwanza atombwee nje ndo asahau.


Nihitimishe ivi, mwanaume anachepuka sababu ya kutaman kitu kimoja kimoja kwa wanawake tofauti yaaan huyu utapenda Pua, yule mdomo, yule mapaja, yule miguu, n.k....LAKINI mwanamke anataman vitu vingi kwa mwanaume mmoja yaan awe na Kazi, elimu, umbo lakiume ,sura ,kujiamin, romantic , pesa n.k ...... SASA ikitokea wee mwanaume una hivi vyote, basi hata kama atakufuma Atakusamehe na hatolipiza kisasi......

Bi Hilary Clinton na Mumewe +Mchepuko.... alipoulizwa Bi Hilary , alisema "Mwanaume wangu ni Mzuri sana nahivo wanawake wengi wanajirahisisha kwake".
 
Back
Top Bottom