The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,365
- 122,358
Acha ujinga kijana,haya maneno ulitakiwa umwambie mleta mada,Mzee upo entitled na dini ya kiarabu kuliko hata wenye dini yao.
Anger?Leta nyingine hii ni nyepesi sana mkuu😂😂 nasubiri nyingine endelea kupekua zipo nyingi😂
My level of anger is extremely high I can’t lower it at all🫰
How did u know am in anger? Am not in anger dt even think that.I can’t lower your anger level it’s very high
Hii ni nyepese sana leta nyingine😂🫰
Mbona unaumia kwa post zako wewe mwenyewe? I can feel it now! Yani mpaka umebadili na IDKapekue nyingine ulete please fanya hivyo kwa ajili yangu maana mimi ni ki seach sizipati sijui why
Hii ni Oda 😎 🫡
How did u know am in anger? Am not in anger dt even think that.
Heb basi act kama mtu mzima hivi hapo unaona nimebadili I'd au ni USER nameMbona unaumia kwa post zako wewe mwenyewe? I can feel it now! Yani mpaka umebadili na ID
Take rest and relax.
You have a lot to learn about human behavior,The fact that you went to remove that thread and brought it here is enough proof of the intense anger you have towards me.
Unfortunately, there’s nothing I can do to help you, but despite everything, I still treat you like a grown up platinum member 🫡
Yet I’m surprised by the kind of behavior you display lol 😆 lakini siwezi kukupangia cha kufanya🙏
Waganga wanatumia majini katika shughuli zao, ni jambo linalojulikana wazi jinsi waganga wengi ni masheikh pia, ipi mifano mingi ya masheikh wanaosema uganga hauna shida katika dini mfano Sheikh Sule na Sharif Majini, Masheikh wengi pia huwa wanavaa pete za uganga.Kama jamaa Chizi Maarifa yeye anaimani kuwa alizaliwa katika familia ya MaSheik na baba yake alikuwa Sheikh mkubwa .
Kupitia uzi wake mmoja kuhusu familia kuhusu familia yake na Baba yake utagundua wazi kuwa baba yake alikuwa mshirikina mkubwa kama mganga wa kienyeji na alikuwa mjinga wa kiwango kikubwa kuhusu Maarifa na elimu sahihi ya dini ya Kiislamu .
Jamaa baada ya kukua anakuja kulaumu Uislamu kumbe alilewa kwenye familia ya kushirikina
JF hua tunasema id imesha zoeleka na inafahamika zaidi,Heb basi act kama mtu mzima hivi hapo unaona nimebadili I'd au ni USER name
Tatizo sio kuleta thread yangu, the problem ni namna umeileta kwa design ya masingo fulani, but mimi niko poa.You have a lot to learn about human behavior,
Unachokifikiria sicho,kuleta uzi hua tunaleta ili kuweka reference sawa,wala wewe sio mtu wa kwanza kuletwa uzi wako kwenye comments.
Aloo😂 hakuna namna asanteJF hua tunasema id imesha zoeleka na inafahamika zaidi,
Maisha uliyoyapitia nafikiri athari zake zimeanza kuonekana sasa,pole sana,stay calm u will be ok.
Upo ushahidi wa kihistoria kuonyesha wanawake walikuwa wanajifunika vichwa/veiling kwa sababu mbalimbali (hijab kwa uarabuni) kabla, wakati na baada ya ujio wa Uislamu na Muhamad. Alichokifanya Muhammad ni kufanya sheria ya lazima ya kidini na hapo ndipo mtafaruku mzima ulipoanzia kwa sababu wanaume Waislamu wenye msimamo mkali na wasio na tolerance walitumia huo mwanya kufanya ukandamizaji, control na ujinga wa kila aina dhidi ya wanawake.Una ushahidi gani kuwa Wanawake kabla ya Uislamu walivaa Kwa sababu hiyo ?
Kumbuka ushahidi upo kipindi fulani Wanawake baada ya Uislamu walikuwa hawavai hijabu wala hawafuniki uso kabla ya kushuka hiyo amri katika katika maandiko.
Swala la kuondoa asilimia 💯 matamanio ya Mwanaume kwa Wanawake hilo haliwezekani hata avae kiroba , sasa jambo kama haliwezekani lote haliachwi lote unaweza kudhoofisha na kuondoa hatari kubwa au nguvu kubwa na kulinda heshima
Hiyo ni kwenye bibliaMwanamke katika Uislam ni kijakazi na chombo cha starehe hana heshima yoyote
Ni kwa nini katika Uislamu wanawake na wanaume hawachanganyikani katika chumba kimoja msikitini?
Ulipaswa kumjibu maana yeye haelewi, angekuwa na nia ya kukashifu angekuja na mtazamo wake badala ya kuulizaUmeona ile mada wanawake wenu wanashambuliwa kwa kuvaa nusu uchi kanisani ukaja kujifariji huku sio?
Nenda kajibu hoja kule acha kubadili magoli au kutafuta pakutokea.
Hiyo ni tafsiri yako,wewe kutafsiri hivyo haihalalishi kua ni kweli mimi nimeleta huo uzi kwa design ya masimango, ukisoma comment niliyoiquote na kuweka huo uzi utaelewa,Tatizo sio kuleta thread yangu, the problem ni namna umeileta kwa design ya masimango fulani, but mimi niko poa.
Tunaweza kuwa marafiki wazuri ukita mkuu 🤝
Mkuu wewe utakua ni mgeni kwa huyo mleta mada,Ulipaswa kumjibu maana yeye haelewi, angekuwa na nia ya kukashifu angekuja na mtazamo wake badala ya kuuliza
Ivi nilichokisikia kua wanawake wakiislam wakienda kuswali hawavaagi nguo ya ndani ni kweli au ?
Mwanamke katika Uislam ni kijakazi na chombo cha starehe hana heshima yoyote
Kaka basi tuache hili lipiteHiyo ni tafsiri yako,wewe kutafsiri hivyo haihalalishi kua ni kweli mimi nimeleta huo uzi kwa design ya masimango? ukisoma comment niliyoiquote na kuweka huo uzi utaelewa,
Naona mimi kuuleta huo uzi imekuchoma sana,ukiniambia nidelete nitadelete tu.
Kwani ni mambo gani hayo ambayo hayapo sawa? labda mimi ndio siyajui!Bado nafasi ipo ya kuweka mambo sawa 🤝
Kumbe wewe unalumbana? mimi wala silumbani bali nipo kwenye mjadala wa kawaida tu JFsipendi malumbano hujui tu🙌
Kwanini uwaze kua kuna sehemu nimekwazika?Tufanye hivi pale ulipokwazika na comment yangu niwie radhi mkuu 🙏