Kwanini wanawake mnapenda wanaume wenye ushawishi, pesa na magari?

Nampa pole sana huyo boy ulie nae anapoteza time
 
Hivi kweli na nyie mnaridhika na kupata ujasiri kabisa... ilhali unajua kabisa hapa sijapendwa mimi bali mali ninazo miliki?
 
Nampa pole sana huyo boy ulie nae anapoteza time
Hapotezi time hata kidogo. Wewe ndo unapoteza time kuwa msemaji wa ndoa yetuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kutoa pesa kwake sio tatizo ila wewe ndo unataka umuaminishe alione ni tatizoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapotezi time hata kidogo. Wewe ndo unapoteza time kuwa msemaji wa ndoa yetuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kutoa pesa kwake sio tatizo ila wewe ndo unataka umuaminishe alione ni tatizoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Namuonea huruma sana kwa sababu hana mwanamke ana malaya mpenda pesa.siku zikiisha mbiooo
 
Namuonea huruma sana kwa sababu hana mwanamke ana malaya mpenda pesa.siku zikiisha mbiooo
Hahahha..wanaume wote wasio na pesa huwaita wanawake malaya..Sasa si bora kuwa kupenda hela kuliko kuwa mama hurumaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Halafu alokwambia nitamkimbia nani?πŸ˜€πŸ˜‚. Punguza hasira tafuta pesaπŸ€£πŸ˜›πŸ˜›.

Yaani ukiwa na hela huwezi ukatumia siku zote hizi kulalamika kwanini wanawake wanapenda helaπŸ˜€. We mwenyewe hela unaipenda acha makasiriko babyπŸ˜€πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…