Kwanini wanawake mnapenda wanaume wenye ushawishi, pesa na magari?

Dawa ni kwenda kwa ostazi akufanyie mambo ili upendwe yaani wanajileta wenyewe pia ukimpata hakikisha unampiga mashine yanguvu Hadi mimba hakuachi huyo atakuganda, anakuja kustuka ushamzalisha watoto 9 anakua kashazeeka
 
Leo nawauliza wanawake kwanini mnapenda wanaume wenye ushawishi pesa/magari

Mim nikijana lakini hua nakataliwa sana na mabinti hadi nikawa nahisi nimerogwa sasa siku moja kaka yangu akaja Mwanza na gari lake aina ya crown nyeusi akapata dharula ya kwnda nchi jirani ikabidi gari aliache na funguo akanikabidhi.

Aiseeee huezi amini nakula wotot wa watu/dada za watu balaa hadi walio nikataaga hadi wengine nawachunia wanaume tutufte pesa gari ni mtego wa wanawake.sasa ndio nawauliza wanawake kwanin mnapenda vitu sio mtu?
Hao wanajua una hela ndio maana. Wanawake baadhi wanatamaa
 
Leo nawauliza wanawake kwanini mnapenda wanaume wenye ushawishi pesa/magari

Mim nikijana lakini hua nakataliwa sana na mabinti hadi nikawa nahisi nimerogwa sasa siku moja kaka yangu akaja Mwanza na gari lake aina ya crown nyeusi akapata dharula ya kwnda nchi jirani ikabidi gari aliache na funguo akanikabidhi.

Aiseeee huezi amini nakula wotot wa watu/dada za watu balaa hadi walio nikataaga hadi wengine nawachunia wanaume tutufte pesa gari ni mtego wa wanawake.sasa ndio nawauliza wana

Hakuna mtu anapenda maisha ya shida hapa duniani. Kila mtu anatamani awe pesa, aishi maisha mazuri, aolewe na me/ke mwenye elimu nzuri na awe beatiful/handsome. Anayejitambua na tubambua thamani ya utu wake na wa mwenza wake. Finally caring
wake kwanin mnapenda vitu sioHa mt
 
Kuhusu magari,sio kila mwenye gari ana hela

Kuhusu hela inanogesha mapenzi,penzi la bila chapaa halinogi!!!

Na sio lazima uwe nazo nyingi hata miambili ukiitumia vizuri inaongeza msisimko
Hilo nalo neno.
Pesa zinarahisisha maisha
 
Kuhusu magari,sio kila mwenye gari ana hela

Kuhusu hela inanogesha mapenzi,penzi la bila chapaa halinogi!!!

Na sio lazima uwe nazo nyingi hata miambili ukiitumia vizuri inaongeza msisimko
Umeongea point kubwa hasa hapo mwisho, lakini gari huwezi kuwa nalo usiwe na pesa sasa mafuta unaweka na nini,. Lazima utaliuza yaani uko na Crown huna chapaa
 
Back
Top Bottom