Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,422
- 5,597
Wakikukaripia na wewe wakaripie
Ki uhalisia wanawake hawapendi kazi...
Kikubwa ambacho nakiona kinaharibu wengi ni Ulevi/Kiburi cha kazi na mazoea mabaya.
We imagine mtu humjui unaanza kujibu ujinga ujinga tu...
Lakini pia wengi wanapima mtu kwa bei ya macho.. ukija na mgari wa maana wanakukimbilia,
ukija vinginevyo wanakuona unawasumbua tu, sasa wameajiriwa hapo kwa ajili gani?
Wema hauozi, usichague mtu wa kuwa mwema kwake, kuwa wewe kwa kila mtu.