Kwanini wanawake hubana miguu?

Kwanini wanawake hubana miguu?

Inatokea umekaa na mdada au mwanamke baada ya muda anabana miguu anakua anamanisha nini?
Hii imenitokea tukiwa tumekaa kwenye foleni tukisubiria huduma sasa bidada nikaona kama kalegea hata anavyoongea.
Ni kwamba hujui wanampasuo huku chini, unataka wachanike???
 
wanaogopa dudu lisije kuingia kwa njia ya bluetooth au xender!
 
dah maswali mengine bhana kuendako huku mtauliza hivi kwa nini sehemu ya siri ya mwanamke iko tofauti na ya mwanaume kimaumbile?
 
Ukisimama muda mrefu obviously hauwezi kutanua miguu
 
Anayejitambua lazima ajisitiri,kama angekuachia uone ungejua anauza n.k
 
Back
Top Bottom