Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,845
- 52,251
Ukikaa mguu sawa muda mrefu ndiyo unaweza kuanguka ukikaa mguu pande unakula shumbwela
Baada ya kukaa mguu pande utafanyeje?
Je wewe ni mwanamke au umewawakilisha?
Ukikaa mguu sawa muda mrefu ndiyo unaweza kuanguka ukikaa mguu pande unakula shumbwela
Mbona nilikujibu kule jamani ebu rudi nilisema usisahau na alizetiHivi ulijibu nn kuhusu "Mtwara na JWTZ" nlipookuliza?
Mbona nilikujibu kule jamani ebu rudi nilisema usisahau na alizeti
Mileage imesoma! Ukiniona Utanipa mkongojo!Eeeenh sema kweli jamani
Na huo ubonge wako au sikuhizi umepungua!??Tunazuia mkojo
Jaribu kuongeza nyama, mmekutana ktk mazingira yapi?
Mie sina haja ya kubana miguu....napana tu mapaja, kitu kinayeyaNa huo ubonge wako au sikuhizi umepungua!??
Mie sina haja ya kubana miguu....napana tu mapaja, kitu kinayeya
I love you more my honey....♡♡♡♡♡That's why I loved you.. Nilikumiss sana pa1 nakibituulichonipa, ila nimejikaza hadi nikuchokoze na mention au quote ndio unijibu
Huwa tupo mazoezini.... Kegel inahusika......Inatokea umekaa na mdada au mwanamke baada ya muda anabana miguu anakua anamanisha nini?
Hii imenitokea tukiwa tumekaa kwenye foleni tukisubiria huduma sasa bidada nikaona kama kalegea hata anavyoongea.
Una umri gani?Inatokea umekaa na mdada au mwanamke baada ya muda anabana miguu anakua anamanisha nini?
Hii imenitokea tukiwa tumekaa kwenye foleni tukisubiria huduma sasa bidada nikaona kama kalegea hata anavyoongea.