Mashoo Mashoo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 375
- 105
Wanawake wengi huwaamini wapenzi wao kwa kupima kwa macho. kwao wao wanadhani ukimwi uko mbali sana. walio makini kwa kiasi ni ma bar maids,hawa huwa makini sana na wakati mwingine hutaka washuhudie ikivaa vizuri na salama kwa mchezo.
Uko deep!!