agatony8l
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 453
- 103
Zaidi ya mara kadhaa ya relation ship zangu nimegundua Wanawake ndo watu wa kwanza kupinga matumizi ya mpira kwa kisingizio cha kuwaumiza. Na mara nyingi Mwanaume asipo kuwa na msimamo katika matumizi ya condom basi matumizi huishia hapo Na kuwa kavu kavu, kikubwa wanachojali ni Mimba tu so wakiwa wapo kwenye safe days wanaona wapo Safe kwa kila kitu
GT hasa Wadada naomba mje mdadavue hili na kutupa majibu
GT hasa Wadada naomba mje mdadavue hili na kutupa majibu