Jamani i have been seeing this kwenye maeneo mengi na kwa wanawake wengi, hawapendi kutaja umri wao kabisa hasa wale ambao tayari kaumri kao kamevuka miaka 25, why?
Musimo Jr!!!
Teeh teh teh teh ulichokisema ni kweli sasa sijui huogopa kuzeeka mapema, In fact wana wake wengi au kimaumbile wana paswa kuwa ndani ya ndoa kama watapenda ni kuanzi age ya 22 hadi 30 na awe kaisha tota vichanga vyake 2 au 3. Na mwanamke akisha fuka 30 nio bora asizae ili asizeeke mapema,
Maana Mwanamke alie zaa mapema before 25 akawa na watoto wake 2, na ikishavuka age of 30 kweli huwa ni kijana utadhani ana 25 na ndipo hapo huwa wanona noooooomaaa kutamka miaka yao
Wako kibiashara zaidi, wanataka waonekane kitu kipya kila wakati na siyo second hand.Jamani i have been seeing this kwenye maeneo mengi na kwa wanawake wengi, hawapendi kutaja umri wao kabisa hasa wale ambao tayari kaumri kao kamevuka miaka 25, why?
kwa sababu hawajui mwenza wao ambaye wangempata anataka mwanamke wa umri gani.
Mungi ikumbushe umri wako vile
Kwahiyo unataka kusema "WANAWAKE WANAISHI KWA AJILI YA WANAUME"
ni moja ya athari za MFUMO DUME katika jamii.
You are one of them tena kama nikikuweka kona utasema 22 huku unakula nyasi wewe, Lol!